pesa ya lunch uxapataMaombi yenu wadau.
Ngoja nisubirpesa ya lunch uxapata
Pole chief....hata mimi sikua na wiki nzuri maana ninepigwa almost 100k ila bado naangalia fursa huku nikijipanga upyaSitaisahau siku ya jana kwenye betting kwa hasara iliyonikumba, kila nikiliwa nikiweka nazidi kuliwa. Was a bad day indead.
Inatamanish sana hii ila haw Barca siwaamini kabisa wanaweza tulaza njaa...ngoja niendelee kupima upepo nikiona inafaa naweka nusu mshahara then napiga bapa 2 nasubiri matokeo asubuhiSlot No.2
FC Barcelona - Celta de Vigo
RC Celta De Vigo (Handicap 0-2)
2.70
Nipe vya uhakika vya leo maana mpaka sasa sijavionaHzi habara ya score both half au win both half ni ya kukimbiwa kbisa na haya mambo ya corner ni kuwa nayo makini naona wachezaje wameanza kuchoka kwa mamechi mfulilizo sasa hivi ni bora utembee na vitu vya hakika vyenye odds hata kiduchu au uunge na basket ama volleyball na sasa australia open inaanza iatachngia odds
Ila siku hizi umekua muoga sana mkuu..hahahahMKEKA No.1
Odds: 3.43
Stake: 30,000 Tsh
Marejesho: 102,700 Tsh
Mapambano yanaendelea
View attachment 672998
Hiyo ni over 1.5 ila ni under 2.5Naombeni kujuzwa jamani, hivi 0:2 eti ni Over?
Bet WooooonMaombi yenu wadau.
Celta amekua akiwasumbua sana Barca na Madrid na vile kwasababu hii ni mtoano nategemea atatoa upinzani sana leo ivyo bhasi natarajia asifungwe kwa tofauti ya goli 2 maana hata game mbili zilizopita alimkomalia Barca na kutoa sare 2-2 na 1-1.Inatamanish sana hii ila haw Barca siwaamini kabisa wanaweza tulaza njaa...ngoja niendelee kupima upepo nikiona inafaa naweka nusu mshahara then napiga bapa 2 nasubiri matokeo asubuhi
Leta nyingine mzeeBet Wooooon
HongeraBet Wooooon
Nataka niweke stake mlima ndio maana napat tumbo la kuharisha hat kabla ya kuweka mzigoCelta amekua akiwasumbua sana Barca na Madrid na vile kwasababu hii ni mtoano nategemea atatoa upinzani sana leo ivyo bhasi natarajia asifungwe kwa tofauti ya goli 2 maana hata game mbili zilizopita alimkomalia Barca na kutoa sare 2-2 na 1-1.
Warning: Mkuu kama stake yako ni ya kukuza mtaji usiiweke hapa
Asante sanaHongera
Subir kuwa online nitaleta nyingine saivi.Leta nyingine mzee