Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

MREJESHO........

Option zote nlizosema hapo juu zimetick.

3rd quarter- over 40.5 imetick
Full time - mobis Phoebus kashinda mechi.

Na furaha kusema kwamba hatimae BET WOOOOOOON.

Hongera sana mlonifata ktk huu ushauri.

Hakika mapambano yanaendelea
 

Attachments

  • 2018-01-11-15-06-36.jpg
    52.9 KB · Views: 69
  • Screenshot_20180111-150024.png
    77 KB · Views: 33
BIG UP sana Chief ... yani 250K inaingia in less than 2hrs.


Yaan ndio nafungua princess nichez in play huk tayar Korea washafunga bas tujaribu who wins rest of the match tumpe korea
 
ushauri kwako wenye faida.

najua humu unajitolea mno na unahitaji pongezi za ziada mnooooo hebu kaa na wataalamu mfungue website ya maswala ya uchambuzi/app itakulipa pia

ila ukifanikisha usipasahau humu kwakua ndipo wazo liliko anzia.

kazi njema nisije pigwa mawe na wanajukwaa bure
 


Naona umetumwa na kanjibai
 
Mwanzoni, roho ilkua inasita sana mpaka nikawa na kitete mkononi.

Ila nkajilipua tu,

Mwingine huu hapa....
Over 43.5 third quarter imetick
View attachment 673071


Big up Chief, mdogo mdogo najua ipo siku nitafikia hapo na mimi.

Upo njema mno..... Kwa watu kama sisi ambao bado hatujachipua vizuri kimtaji uwe unatuongezea maandishi ya Stake big au Stake low au Stake kwa Tahadhari ili nasi tupate courage ya kujilipua tunapokuwa na hela
 
Poa mkuu,
Ntafanya hivo.

Hii mechi tokea Jana usiku nlikua naimezea sn mate.

Odds alizopewa phoebus zlkua ni nyingi mno kulinganisha na uwezo wake.
 
Naona umetumwa na kanjibai
kiaje mkuu ni ushauri tu anaweza asiuzingatie hata kwa asiliimia 1.

kumwonesha sehem nyingine anakoweza kupata mapato zaidi kupitia uchambuzi wake ni kutumwa na muhindi? duh!!!
 
Nmeupokea ushaur wako
 
Dah,
Sio mchezo mkuu.

Nmerudisha ela yangu yote nloliwa Jana na juz.

Pamoja na faida juu


Hapa lazima hasara irudi. Kumbe huyu jamaa tunaweza kumpiga sn InPlay kuliko kusubiri dk 90 only to be disappointed na kukosekana kwa goli moja au corner moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…