Mkuu,Waheshimiwa nina mkeka wa meridianbet nilicheza basket pekee mechi 8,niliunganisha za jana na ya leo moja.Za jana 7 zote zimetick.Bado game moja tu ya Euroleague PANATHINAIKOS Vs BARCELONA,saa 4 usiku..nilimpa Panathinaikos ushindi.Wenye maarifa na hizi game za Euroleague tafadhali nishaurini kuhusu mechi hii...nisubiri ama nikafanye turbo payout japo nipo mbali na huduma
Mkuu naomba u bet then u screen shot mkeka wako maana wengine option nyingi huwa hatuzielewi ila tukigezea kwa mkeka wako tunasaka odd mpaka tunaona odd zikifanana ndio tuna tia stake so ningeomba utie mkeka leo nataka nijilipue kwenye kikapu kwa pesa ndefu......WAKUU,
kwenye michuano ya Euro league upande wa Basketball naiona mechi ya
"Valencia vs Fernabance"
Inachezwa usiku,SAA 4:45
Hii mechi naona MUHINDI ameingia mkenge kwa kumpa fernabance odd kubwa kiasi kile.
Na naiona kabisa hii game, fernabance anashinda kwa kishindo kabisa
Tena kwa difference kubwa sn tu ya point za vikapu.
Kwann nasema hivo?
Hii ni kwasababu,
Katika takwimu za viwango vya ubora wa club za basketball barani Europe kwa sasa.
Fernabance anashika nafas ya 5, Pia kwa form alokua nayo kwa sasa.
Namuona kabisa fernabance akiwa ktk top 3 ya club bora zaidi barani ulaya.
Ukiachilia mbali siasa za wahispania ktk fitna za upangaji wa ranks ndani ya mpira wa kikapu.
Ili waonekane wao ndo bora sana.
Kwann nasema hivo?
Hii ni kutokana na form Kali sana alyonayo fernabance kwa hivo sasa.
Fernabance ktk mechi 15 zilizopita ,
Ameshinda mechi 12 na kupoteza mechi 3 tu.
Na hizo mechi 3 pekee alzopoteza, amepoteza kwa mbinde sn
Na alkua akicheza na club bora sn europe ktk kikapu.
Tena kapoteza kwa tofaut ndogo sn ya point za vikapu .
MF:
mechi alopoteza na Real Madrid hivi amepoteza kwa tofauti ya vikapu 2 tu.
TUGEUKIE SASA KWA VALENCIA,
Huyu Valencia ukimwangalia kwa sasa, hali yake ni mbaya mno.
Huyu Valencia ktk mechi zake 11 zilizopita.
Valencia amepoteza mechi 7, na hata hzo mechi zenyewe 4 zilizobaki alzoshinda.
Ameshinda kwa mbinde sana akiwa home ground,ukzngatia kwamba pia alkutana na timu dhaifu.
Kwahyo tunaona,kua bado home advantage haimsaidii sana Valencia .
Kingine ni kwamba,
HEAD TO HEAD
Kwny head to head ilopita,
tumeshuhudia fernabance akimshughurikia Valencia kwa kichapo cha mbwa mwizi.
Fernabance alishinda hiyo mechi kwa difference kubwa sn ya point 13 dhidi ya Valencia.
Na baada ya hapo, fernabance amekua ktk fomu Kali sana na tishio barani ulaya.
MY TAKE,
Hii mechi fernabance anashinda moja kwa moja, tena bila haja ya extra time.
Tena anashinda kwa ushindi wa zaidi ya diff ya point 5 mpk 15.
Hitimisho,
Unaweza icheza handicap ya -3.5 kwa fernabance kushinda mechi.
-Stake unatia ya kawaida
Au kama ni muoga,
Unaweza kumpa direct 3way win
- stake unatia kubwa
Au kama ni muoga zaidi,
Unaweza kumpa direct 2 way win
-stake unatia mlima.
NATUMAI TUKO PAMOJA WAKUU.
Hao wote
Wazee msaada hapa n kona first half
Over 3.5 je wanaweza kutoa
DeepPond agiza Pepsi babaMkuu,
NIKUTOE HOFU NDUGU YANGU.
Hiyo mechi Barcelona hachomoki kabisa.
Panathinaikos ni timu chipukiz ktk hii michuano.
Na imeleta mapinduz makubwa sn upande wa basket Europe.
Huyu panathinaikos akiwa home ground ni tishio sana.
Amecheza mechi 23 hapo kwake.
Ameshinda mechi 20, Tena bila hata extra time.
Ameshinda mechi 13 mfurulizo,
Akipoteza mechi 3 tu.
Tena akipoteza dhidi ya majabali ya basket Europe.
Tena ilkua ni kipindi ambacho alkua na injuries wengi kwny timu.
Hzo mechi 3 Amepoteza dhidi ya CSKA Moscow ,unic Kazan na Darussafaka.
Huyo darussafaka nae amekuja kumfunga kwny extra time.
Na hzo mechi zenyewe alzopoteza ni long time ago.
Kwa sasa,
Panathinaikos yuko on fire.
Wakubwa na wakongwe wa kikapu barani ulaya wamechezea vichapo hapo uwanjani kwake.
MF:
real Madrid, fernabance, olympiacos na wengineo wengi.
Timu ambayo inamsumbua sana panathinaikos hapo nyumbani kwake ni CSKA Moscow.
Hawa ndo msalaba pekee wa jumuia kule Europe, wanapita kila nyumba na kufanya ubatizo.
Ila kwa Barcelona sioni kabisa akifurukuta hapo.
Ushauri,
Muache panathinaikos ashinde hyo mechi upige pesa.
Plan B,
Kama unaogopa sana,
nakuomba usiturbo huo mkeka.
Ni bora niuzie mimi huo mkeka, maana nnashida sana na pesa kipindi hiki.
NIKO TAYAR KUUNUNUA MKUU.
Hao walazimisha mkeka uwe na timu nyingi5000 ni lazima ubet mechi 3 M Bet shikamoo
Naunga mkono hoja yaan option za basket sijazielewa juz niliingia kichwakichwa nkaliwa ila n kwa sababu ya option. DeepPond atusaidieMkuu naomba u bet then u screen shot mkeka wako maana wengine option nyingi huwa hatuzielewi ila tukigezea kwa mkeka wako tunasaka odd mpaka tunaona odd zikifanana ndio tuna tia stake so ningeomba utie mkeka leo nataka nijilipue kwenye kikapu kwa pesa ndefu......
Tuko pamoja na mapambano yaendelee chief DeepPond
Nashauri uturboWaheshimiwa nina mkeka wa meridianbet nilicheza basket pekee mechi 8,niliunganisha za jana na ya leo moja.Za jana 7 zote zimetick.Bado game moja tu ya Euroleague PANATHINAIKOS Vs BARCELONA,saa 4 usiku..nilimpa Panathinaikos ushindi.Wenye maarifa na hizi game za Euroleague tafadhali nishaurini kuhusu mechi hii...nisubiri ama nikafanye turbo payout japo nipo mbali na huduma
Umesahau kwamba na mimi ni muhaya pia ahahahahNilishawapigania wanangu wako shule now acha baba aanze kucheza na muhindi sasa, wakorea nafikiri hatudaiani 90k kakalishwa bwana kanji much thanx to all my fellow fighters DeepPond, Mr Wise et al bila kumsahau rafiki yangu Mr. ZZ Rumisha muhaya pekee ndani ya jukwaa
wahaya tupo [emoji41]Umesahau kwamba na mimi ni muhaya pia ahahahah
Mkuu ulivaa mabomu haswaaaMREJESHO........
Option zote nlizosema hapo juu zimetick.
3rd quarter- over 40.5 imetick
Full time - mobis Phoebus kashinda mechi.
Na furaha kusema kwamba hatimae BET WOOOOOOON.
Hongera sana mlonifata ktk huu ushauri.
Hakika mapambano yanaendelea
View attachment 673067
Hii game hata mimi niliiona, ngoja nitafute mtaji nitupieWaheshimiwa nina mkeka wa meridianbet nilicheza basket pekee mechi 8,niliunganisha za jana na ya leo moja.Za jana 7 zote zimetick.Bado game moja tu ya Euroleague PANATHINAIKOS Vs BARCELONA,saa 4 usiku..nilimpa Panathinaikos ushindi.Wenye maarifa na hizi game za Euroleague tafadhali nishaurini kuhusu mechi hii...nisubiri ama nikafanye turbo payout japo nipo mbali na huduma
So mkuu hapo unaona kama sevillaHao wote
Ni wapiga corner wazuri tu.
Sema kwa sasa wana homa ya vipindi.
Hawatabirikagi kirahis rahisi.
Labda angalau kwa barca,
kwasababu alitoka sare 1st leg, atashambulia sana ili apate matokeo ya mapema.
Ila sevilla,
Uyo alishinda 2:0 away
Sidhan km ataingiza full squad kutafta tena matokeo zaidi
Maana Cadiz ni daraja LA pili kule segunda
Nnawasi wasi sevilla akacheza possession zaidi na kusababisha corner kupelea.
HAPO,
MM MWNYW NMEBAKI DILEMMA.
Ushauri wangu,
Tafuta mechi nyingine, That's risky!
Afu anakuja mjinga mmoja toka MMU ana tuita jobless mshahara wake anao utafuta kwa siku 30 unapatikana ndan ya saa2BIG UP sana Chief ... yani 250K inaingia in less than 2hrs.
Mwanzoni, roho ilkua inasita sana mpaka nikawa na kitete mkononi.
Ila nkajilipua tu,
Mwingine huu hapa....
Over 43.5 third quarter imetick
View attachment 673071