Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hukuona mkeka wa deepond mkuu hao ulikuwa unafumba macho unatia stake hat miliion unawapa under wote
Hapana leo sijashinda na sim mkuu deeppond huwa na mfuata nlkuw naingia na kutoka mkuu.
 
Mseme amjazioona fwatahisia

[1/11, 19:46] G.E.M: Sevila 2-0/2-1 cs
[1/11, 19:46] G.E.M: Levante ht x
[1/11, 19:46] G.E.M: Ft 1-1/0-2
[1/11, 19:47] G.E.M: Barcelona game
2-0/3-1
 
Ni kuwasamehe bure mkuu,

Hawajui walitendalo.

Ndo maana huwa sipend majibizano na watu wasio wa humu ndani.

Huwa nikiona comments zao nawapotezea tu.
Kula energy mpwaaa ntalipa hapoumenenaaaaaa
 
MKEKA No.2

Odds: 1.55

Stake: 200k
Marejesho: 310k

NB:
-Uyo wa kwanza ni football- friendlies
-Uyo wa pili ni hockey-norway
-uyo wa tatu ni basket-croatia

WEKA STAKE MLIMA

Mapambano yanaendelea
 
View attachment 673143
Any ammendments wadau kabla sija lipuka!!!????
Mpe sevilla
" home to win either half"

Direct win ni hatar sn hasa hz mechi za marudiano.

Hasa km timu ilishaashinda goli nyingi ugenini first leg.

Mfano hai:
Real Madrid Jana.
Hajacheza serious sn kupata matokeo sababu alishashinda goli nyingi kwny first leg akiwa away.

Jana R.madrid aliingia tu kukamikisha ratiba.

Mwisho wa siku
Jana R.madrid metoa sare.

Ambayo kwake hata haimuumi maana tayar keshasonga mbele kwa goal difference.

Kwahyo,
Sevilla
Anawz asicheze serious sn maana first alishanda kwa kishindo Tena kwa cleansheet kabisa.

Be careful with that, otherwise stake low.
 
Duh,
Bado unatumia m-bet mkuu?
Ndio mkuu,nimedownload princes bet lakini siwaelewi,maana wanabet final score,af kuna three way ambayo sijui inamaana gani
Afu anakuja mjinga mmoja toka MMU ana tuita jobless mshahara wake anao utafuta kwa siku 30 unapatikana ndan ya saa2

[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kuna mikeka na tips zinatumwa humu unachambua mbili tatu unaweka ukirudi posts za nyuma utaona tips mbalimbali na wewe unachambua unaweka mkeka
 
Asante mkuu kwa ushauri nime stake low tayar apo nasubir tokeo
Kuna mwngne nime Copy na Kupaste kutoka kwako!!
 
Nimechungulia mechi za kesho na keshokutwa ... naona kuna hela mingi sn wadau ... leo tufanye kudunduliza tu ...kesho na keshokutwa inabidi kufanya uwekezaji wa haja.

Nimefurahi sana kuona Eerste Divisie inarudi kesho
 
Nimechungulia mechi za kesho na keshokutwa ... naona kuna hela mingi sn wadau ... leo tufanye kudunduliza tu ...kesho na keshokutwa inabidi kufanya uwekezaji wa haja.

Nimefurahi sana kuona Eerste Divisie inarudi kesho
Mm mwnyw nmeimiss erestre divisie sana.

Nataman sn wawepo NEC nijmeng na jong ajax.

Hao jamaa burudani sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…