Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu hivi barcelona anaweza akatoa kona over 8.5?
 
Hahahaha dah mkuu kidogo kidogo business yako inapiga hatua,
Ndo hivo mkuu,

Ela ikipatkana huku, tunachovya kidogo na kuwekeza kwngn.

Na Maisha yanaendelea.

Mwanzoni nlkua nauza duka mwnyw huku nabet,

Hii nlkuja kuiacha maana ilkua inaniondolea concentration nnapokua nafanya uchambuz wa mechi.

Ile umekaa tu kuchambua game 2,
Mara wateja hao.

Mwisho WA Siku nkawa performance inashuka.

Ikabd kaz ya kushinda dukan nimwachie wife ndie asimamie.

Ili duka jipya LA electronics , kuna binamu yangu kutokea mkoani nmemleta atusaidie kuuza.

Sahv,
kuna fremu moja nmeichukua mahali Jiran na duka ni kwangu.

Nataraji mtaji ukikua zaid mwakani nifungue rasmi Kijisaccos cha kutoa cha mikopo midogo

Sahv nmeshaweka furniture zote muhimu, strong vault na vitu vingine muhimu.

Kilichobaki ni mambo ya usajili na mtaji mkubwa kiasi.

Kwahyo
Kila asbuh huwa naondoka nyumban.

Naingia humo ,najifungia na nakutulia nikifanya uchambuz na kusuka mikeka.

HAKIKA HATA WIFE WANGU ANAFURAHIA SANA BETTING.

Na anatamani sana naye nimfundishe kubet.

ILA NILIMZUIA KABISA ASIJIHUSISHE NA HII SHUGHULI.

MAANA KUNA SOMETIMES,TUNAPITIA KIPIND KIGUMU SN

AMBACHO KWA MWANAMKE KUVUMILIA MAUMIVU INAKUA NI KAZI NGUMU KWELIKWELI.
 
Another [HASHTAG]#woooooooooooooon[/HASHTAG]

BIG BET
========
East Riffa 0-3Almuharraq SC
Pick (2)✅ ✅ ✅ ✅ ✅ ✅ ✅
⛳️ ASTROMITOS 1- 0 ASTERAS T
PICK (1)✅✅✅✅✅✅✅
TOTAL ODDS=3.79
PLACE BET SINGLY ALL GAMES ARE 95 TO 100 PERCENT ACCURATE
GOODLUCK AND WIN BIG
 
Mkuu hivi barcelona anaweza akatoa kona over 8.5?
Hiyo game ni 50% kwa 50%

Maana naamin matokeo ya corner atategemewa zaidi barca.

Kwann nasema hivo?
Hii ni kwa sababu barca atadominate sn mchezo.

Barca anategemewa kushambulia sn bila kutoa ushirikiano kwa mwenzie kwa kucheza sn kwny final half ya celta.

Hii itasababisha tupate kona nyingi kutokea upande mmoja.

Namaanisha ikitokea barca keshapiga corner 5 za haraka haraka peke ake.

Kisha akapata goli 3 za fasta.

Hatoshambulia Tena, atafanya kudribble mpira kwa kupiga sn back passes.

Hii kitu inanipa mashaka sn ya kupata corner nyingi

USHAURI
Hii mechi hebu tusubir ianze, afu tuone formation na approach waliokuja nayo celta.

Na ndani ya DKK 10 za mwanzo tutakua tushajua hii mechi itakua ni ya type gani.

INPLAY CORNER BET NDO INAFAA SN KWNY HII MECHI.
 
unawekaga stake za sh.ngap?
 

Hongera chief kwa kuifanya hii kitu serious itabd siku unialike hapo ofisin kwako tupige uchambuzi pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…