Hivohivo najikongoja leo nmepgwa mpunga mpaka basi nashukuru nmerudisha aisee hii nilikopa.Hongera Kiongozi
Nausuka.Kuna mkeka wa kulalia?. Nipo standby
Hahaahaa mkuu nahisi muhindi kashakengeuka anachanganya frequency sasaDooh kumbe na mm nna timu huko inacheza na LA Clippers ... haya nipeni mpunga niwauzie hii game (tuifix)
... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
*kidding guys*
Tunausubir KiongozNausuka.
ahahahahahahDooh kumbe na mm nna timu huko inacheza na LA Clippers ... haya nipeni mpunga niwauzie hii game (tuifix)
... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
*kidding guys*
Dooh kumbe na mm nna timu huko inacheza na LA Clippers ... haya nipeni mpunga niwauzie hii game (tuifix)
... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
*kidding guys*
Sometimes tusiogope ukubwa wa odds ... game ya Porta ilikuwa na odds 2.45 option ya GG (Both Teams To Score)
Wadau Koncho77, Buddy, DeepPond, Omerta, BABA-D, Willy Billy, et al.
INPUTS zenu kuhusu game za NBA leo. Mimi naona nyingi zimekaa siyo poa. Nimejaribu hivi:
View attachment 673592
Congrats, Mpambanaji mwenzangu!
Odds are calculated to be broken.
All odds were on your side today! Thumb up.
Mkuu naomba uwasubirie wadau wengine, leo kichwa hakijakaa vizuri kabisa kwa uchambuzi.
Akili imechoka, hlf vipigo vya jana bado havijanitoka kichwani