Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mwenye kujua namna ya place bet ambayo ukiweka option mbili kwa game moja lazima upate faida upande mmoja hata kama ni kidogo,hapa namaanisha unatumia hata 200,000unapata faida ya 15000 kwa hiyo game moja.
lengo ni kila siku mtu unabet game moja na hupoi accumulate faida kidokidogo.
 
Wakuu,
Habar za kuamka.

Naona kama kawaida, mmeshawasili kibaruani.
Niko safarini.... nishaandaa stake nasubili utupie mkeka nijilipue chief thou jana nilipigwa na mhindi kwenye live betting najua ilikuwa sababu ya ugeni wa kule....

Na mapambano yaendelee mkuu....
 
Ndugu koncho77 & DeepPond napenda rasmi kukata shauri nami nivae daluga za basketball lakini na ujanja wangu wote wa kurudiarudia kupitia vitu nimekwama hapa ni kwa njia ipi points zinapatikana,au ndo kusema kila kikapu kikitumbukizwa ndo point 1 au ipoje hii ishu wakuu? naombeni juhudi zenu na full info za basket.
 
Niliwap inplay over 54.5 3rd period naon wametoa kiutanutan
Hongera sana,
Mm mwnyw naona kabisa hii ela nishakula.

Maana ni quarter ya 4 , DKK 4 wanapoint 130.

Sioni kabisa wakifikisha wakiwa na dalili hata ya kufkisha vikapu 190 HAWA jamaa.

HII ELA NISHAANZA KUICONFIRM.
 
Hongera sana,
Mm mwnyw naona kabisa hii ela nishakula.

Maana ni quarter ya 4 , DKK 8 wanapoint 130.

Sioni kabisa wakifikisha wakiwa na dalili hata ya kufkisha vikapu 190 HAWA jamaa.

HII ELA NISHAANZA KUICONFIRM.
Mkuuu vp ya soup australia huko
 
Shukrani kwa uchambuzi Murua mkuu...kwa ushauri wako ilinibidi niisubiri hii game na imetoa..tena kwa kishindo.Kiukweli international games za Basket zinatoa sana na zinatabirika kwa wepesi...kuanzia Euroleague,Eurocup,Europa Champions league,Euroleague women,ABA league,ABA 2,na VTB league zote ni league ambazo ukiwa makini tu lazima upige pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…