Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Slot No.2

Maritzburg United FC - Bloemfontein Celtic FC
1/X
1.28

NEC Nijmegen - Go Ahead Eagles
Over 2.5 goals
1.30

Total Odds 1.66
 
Walewa valeranga ov 2,5 segment korkoroo...done
Ht 0-0
 

Attachments

  • IMG-20180112-WA0076.jpg
    30.2 KB · Views: 34

Hii match ya LEVERKUSEN ni tricky sana. Takwimu zinaonesha kwenye mechi tano walizokutana hivi karibuni BEYERN hajashinda akiwa ugenini na wala hajatoa over 1.5.
Huyu LEVERKUSEN hajapoteza game hata moja kwenye last 5 matches lakini ameweza kumtoa kwenye DFB POKAL huyu mbabe wa BAYERN(Monchenladbach).

NOTE: Safe bet kwenye game hii ni corner. Mpe Bayern over 5.5 corner
 
Na ujue leo lewondoski hata cheza
 
Wakuu mwenye desktop side ya hii web ya premierbet maana inaniboa hii ya mobile mode kama imejibana hivi sijui nimeeleweka.ahsanteh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…