Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hao huwa hawatabiriki.

Ni mzuka tu umewapanda,

Huwa siwaamini kabisa kwny upande wa over
Yeah ni wazee wa UNDER 3.5...sasa leo mmoja alipewa 2.40 na mwengine 2.85 kwa Over 2.5 niliwa select slot moja wawili baadae nikaghairi
 
Yeah ni wazee wa UNDER 3.5...sasa leo mmoja alipewa 2.40 na mwengine 2.85 kwa Over 2.5 niliwa select slot moja wawili baadae nikaghairi
Dah kule Holland2 ni mara mia kuweka 3+ na GG tu leo sijui nimewashwa nini nikampa huyo Mpumbavu 1X na bado kapigwa ,mpuuuzi mwingne Soxhaux kabigwa na bwege wa mkiani mara mia ningechukua odd za Bayern anaongoza 2_0 mpaka sasa kuliko hao wapumbavu aghh..!!
 
Hao huwa hawatabiriki.

Ni mzuka tu umewapanda,

Huwa siwaamini kabisa kwny upande wa over
Yeah ni wazee wa UNDER 3.5...sasa leo mmoja alipewa 2.40 na mwengine 2.85 kwa Over 2.5 niliwa select slot moja wawili baadae nikaghairi
 
Em tuambien team zinazo piga hata kona tukabetie in play mkuu faster faster kat ya team zilizo baki
 
Pole sn mkuu, hauko peke ako
 
Leo kanji anachelea lens kageuza mikeka hahah dah haina noma lkn
 
Hapa ndiyo utasema mhindi mchawi yaani hii mechi imakataa kwa normal basi kweli normal ni adui namba moja wa betting
Home win one of the half fresh
Away win to nil no fresh
Kuwa na tamaa za odds ni kosa kubwa sana ktk betting
Tuzidi kujifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…