Kwa mechi za kesho itabidi tusaidiane mechi ambazo zinaweza toa over 8.5 maana hz over 1.5,2.5 zitatufirisi. Shikamooo PSV
Ngoja tufanye michakato.Wazee wa basket leteni mambo
Ila ya kwanza heko mkuu [emoji2] [emoji2]Ngoja tufanye michakato.
Nshaigia loss ya 60k kwa sababu ya Nimes .
Plan B ni basket,hockey na volleyball
Mkuuu hao ndio wa kulala nao huu ungese wa futball ni bahati nasibu tosha watt wa kidachi na kifaransa, waskotch,waitaliano na wengineo makamari sana bora waraabu siku hiziNgoja tufanye michakato.
Nshaigia loss ya 60k kwa sababu ya Nimes .
Plan B ni basket,hockey na volleyball
Nashkuru sn km umelitambua hill mkuuHapa ndiyo utasema mhindi mchawi yaani hii mechi imakataa kwa normal basi kweli normal ni adui namba moja wa betting
Home win one of the half fresh
Away win to nil no fresh
Kuwa na tamaa za odds ni kosa kubwa sana ktk betting
Tuzidi kujifunza
Naandaa mkeka wa kikapu na hockeyMkuu mimi nilimueka kwenye mikeka miwili tena ya kaama 2k kakosa yy tu tena kwa handicap 1:0 ***** ila hakuna neno bora mtaji umerudishwa na mkeka wako wa kwanza hebu usiku huu hakuna njia ya kumuumiza uso
Mkuu VP hali yako leo
Wa kwanza safi mkuu.Ila ya kwanza heko mkuu [emoji2] [emoji2]
Sawa mkuu andaa mambo kwa utaratibu na umakini ili tusitumie jazba kwa huyu kanji asije akatupiga hahahhaNaandaa mkeka wa kikapu na hockey
Nimes ameninyima Hela na ndio nilimpa Double chance dah imeshapita lakini tujipange kesho****BET LOST******
Nimes mpuuz sana
Usilale mkuu, don't gv up a fight
Niko makini mkuuSawa mkuu andaa mambo kwa utaratibu na umakini ili tusitumie jazba kwa huyu kanji asije akatupiga hahahha
Hockey unawekaga option gani?Ngoja tufanye michakato.
Nshaigia loss ya 160k kwa sababu ya Nimes .
Plan B ni basket,hockey na volleyball
WekamzigooompwaaaIn play twende kazi