Wakuu,
Sing keshasema kuna mechi england wamezifix.
Naona ni vema zaid tukabet KWNY ligi nyngn.
Maana unaweza ukabet kichwa kichwa afu ndo ukaangukia KWNY fixed match.
Kama ilvokua kwa Sochaux,Nimes na PSV siku ya Jana.
HEBU TUKABET KWNY LIGI NYNGN
Wakuu,
John Sing alisema kua england wamefix mechi 3 ili wababe wapige pesa.
My take,
Chelsea ni mojawapo.
Kwann nasema hivo?
Chelsea Leo wameonekana kucheza kwa kurelax sana.
Hata pale Lester walipopata red, hawakuonekana kua na haraka na hamu ya kutaka kufunga.
Kingn,
Nmekiona kwa moses,
Leo moses kacheza chini ya kiwango kabisa.
Leo moses amekua hapigi cross kupitia pemben.
Amekua akipenda kupoza sn mipira akifika kwn eneo LA 18.
Kitu ambacho sio cha kawaida kwake.
Pia kuna clear chance moja kaipata DKK ya 93 baada ya rebound ya beki wa lester,
Ila alichokifanya V.moses ni kuubutua kwa kasi nje kabisa ya goli.
Hii inanipa mashaka kua amefanya kusudi.
Pia,
Tumeshuhudia mara nyng morata akilalama kua yuko kwny position afu watu hawapg cross.
Kingine ni Substitution ya hazard,
Sijaiona sababu ya Kocha kumtoa Hazard kwny game ngumu na inayohitaj matokeo km ile.
AKILI YANGU INANIPA MASHAKA SN NA HII GAME.
NA INANAMBIA KUA GAME YA CHELSEA NI MOJAWAPO YA MECHI 3 ZILIZOKUA FIXED KULE ENGLAND.