Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
kama ndo hivo tupo kwenye vita kubwa kuliko tufikiliavoKuna baadhi ya watu wamewekeza na wanatajirika kutokana na hayo matokeo.
Mkuu naamini usiku leo kuna basket ya kumuua muhindi maana sio kwa kipigo hicho cha leo hahahahaHa ha ha...
Yule jamaa alikua ni noma sn aisee.
Hii michezo ya kufix match ni hatar sn
Update.....MKEKA WA PESA No.1
Odds: 2.13
Stake: 94,000 Tsh
Marejesho: 200,200 Tsh
NB:
uyo wa mwisho ni volleyball Poland
Mapambano yanaendelea
View attachment 674611
Vita kubwa hasa.kama ndo hivo tupo kwenye vita kubwa kuliko tufikiliavo
Wolves sio timu ya kukosa kufunga hata kigoli kimoja kwa timu hoi km Barnsley.Wolve anakuwaga na win au draw
Mkuu,Deportivo La Coruna - Valencia CF
CF Valencia
2.04
FC Pacos Ferreira - CS Maritimo
Maritimo Funchal
3.51
OGC Nice - SC Amiens
SC Amiens
6.63
Nko najaribu kuzchambua mechiMkuu naamini usiku leo kuna basket ya kumuua muhindi maana sio kwa kipigo hicho cha leo hahahaha
Ni sawa mkuu huyu mdosi ni ngumu kulala bila kurudisha faidaNko najaribu kuzchambua mechi
Sasa si mpaka ujue ?ndo maana ikaitwa mchezo wa kubashiri laiti tungekua tunajua....nani angeziacha Odds 11 ....Unaweka laki unasubiria 1.1 millioni ila ndo hivo uwoga wetu umasikini wetu.
Si wanajifanya ku fix match.....nimeamua kutupa buku 3 ktk hzo odds 47, baada ya kuchungulia mahaliMkuu,
Pole sn
Naona umeamua kufanya plan B
nabadili plani napandisha stake hadi 40k kwa kila slip huku nikitafta odd 2.5Nko najaribu kuzchambua mechi
win either half.As monaco ushauri
Wacha nijaribuwin either half.
Odd mlima 1.8win either half.