Tatizo hueleweshi, Upo kupiga majungu watu![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] . Na Kuongea Data ambazo hauna uhakika sana[emoji23] .utaelewa kama kichwa chako kinafanya kazi vizuri...achana na hizo mbet sijui mkekabet sijui meridian wezi hao..
Polee Mkuuu...leo ilikua siku mbaya!Siku ya jumamosi yenye game nyingi sana Khanji huwa anasheherekea sanaChelsea anachekesha
Last week nilimpa under 3.5 akafunga goli 4
Leo nimempa over 1.5 hajafunga hata lakuotea
Ukuda mwingi afu real nae alikuwa na 1.3 nikampa over 1.5 mmmmmh bora ningekunywa maziwa tuPolee Mkuuu...leo ilikua siku mbaya!Siku ya jumamosi yenye game nyingi sana Khanji huwa anasheherekea sana
Ulimfata?
Hiyo ni single ya kibabe
Uwezi amini niliziacha nikamkimbilia Madrid anayetoa kila mara na leo hajatoaUlimfata?
Hiyo ni single ya kibabe
Mkuu leo nakesha na wewe ukitupia tuu basket za usiku nakufata na stake yoote mamaeeMkuu,
Mm Leo england sijagusa kabisa kwny mikeka yangi yote.
Hii ni baada ya kutolewa tahadhali ya match fixing kutokea kwa timu kubwa 3 ligi za england.
Ila nmetoa tu mtizamo wangu kutokana na nlvokua nauona mwenendo wa mechi.
NAOMBA NIELEWEKE HIVO MKUU
Sure...juzi nmenunua kwa jamaa anaitwa Jessen erickssen..na group lake linaitwa Paulo dybala VIP...alinigei match tatu kwa siku tatu na kila mechi ilkua na odds 4+...na zilitoa..WARNING: Kuna wa Nigeria wanawapiga watu pesa kwa kujifanya wanauza fixed match kaaa nao mbali, wanaigeria wajanja mno usije kupigwa. Kuna namba nimeona imetumwa humu ina country code nadhani kama ya wa Nigeria hivi
Wale wenzangu wa mkeka No.1MKEKA WA PESA No.1
Odds: 2.13
Stake: 94,000 Tsh
Marejesho: 200,200 Tsh
NB:
uyo wa mwisho ni volleyball Poland
Mapambano yanaendelea
View attachment 674611