Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huyu jamaa vp huyu hawa ndio wachawi wetu.
 
HAWA MBWA WANGEKUWAA NA KIPAJI CHA DEEPPOND WANGESHATUSHIKA MAKALIO HUMU NA NBOX ZAOO SHAME N THEM
Kweli mkuu yaan Deep pond safi sana jana nime miss mikeka yake sim ilizima nausingiz ukanipitia najuta.
 
Nilianzaga na mil1 nikatengeneza slots 10 za team mbili mbili tu zenye odds zisizozidi 1.5 na hizo slots hazitakiwi kuzidi match mbili. Nikawa nacheza option hizi (Handicap ya goli 2, 12 na 10mins draw hapa kuna muda slots mechi mbili zinaleta mpaka Odds 1.4 which is below 1.5) ktk kila slots nilikua naweka 100K. Siku ya kwanza Slots zote zilizaa iyo ilikua mwaka jana mwezi wa 8. Nikachukua zao la kila slot nikalicheza tena hapa slots 9 zikazaa moja ikapotea. Ila kila wakati slots inapopotea uwa natafuta namna ya kui recover either kwa kuweka kijikokolo cha kimakini ili kufidia na katika kila mzao kama kuna faida zaidi ya nilicho expect huwa iko kiasi nakiundia slot pia (Faida inayokuja bila ku expect utokea iwapo slot nilizoweka zimezid Odd 1.5 hii inamaana kama ningeweka laki hapo nita expect 150,000/ lakini kuna muda unakuta slot inaleta Odds 1.8 inamana hapa italeta 180,000 hapo ina maana 30 niyo faida nayoisema siku i expect.

All in all kikubwa kuna rules zangu nilizojiwekea na huwa nafata hizo
 
Barcelona muwenae makin
Narudiaaa [HASHTAG]#BARCELONA[/HASHTAG] TUWE MAKINI SANA
 
Safi sana,mpaka sasa umefanikiwa vp na changamoto zipoje?
 
Nimekwambia vizuri kama kidume mwenzangu sasa ukisema unanitunzia unamanisha nini?
Arsenal mwenyewe Leo anatoka kona zaidi ya hizo unazosema.... Ushauri ni bure ukitaka ufate au uache sio kuingiza na vitu visivo make sense.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] namuwaza tu Sydney [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji109]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…