Hongera sn.
Itakua ilkua single bet hyo mkuu?
That's goodRULE NO 1 STAKE WHAT YOU CAN AFFORD TO LOSE.[emoji818]
RULE NO 2 NEVER GIVE UP[emoji818]
RULE NO 3 [emoji818]
RULE NO #4 FOLLOW YOUR HEART
[HASHTAG]#254CHAMPION[/HASHTAG]
Tuko pamoja mkuu,Asante Chief ... hapana haikuwa single bet. Kulikuwa na Barca, PSG na Mechi moja ya Handball nilidesa kwako.
So thanks alot mkuu. [emoji120]
Mida y kazi hiiTushaamkaa kaka
Kumekucha kiongozi....tushaamka..vip kwema...Nipe tokeo la mikeka ya usiku jana....Hamjaamka bado?
Tuko pamoja mkuu,
mm nawasubir Australians kwny Tennis nione km ntapata hela ya supu.
Basket wote wameshatickKumekucha kiongozi....tushaamka..vip kwema...Nipe tokeo la mikeka ya usiku jana....
Mi ndio natakaka niikague ofisi alafu nifungueHamjaamka bado?
Daah Mungu asaidie tu tuamke nazo vizuri Kiongozi hahaha!!Hakuna raha kama kuamka na pesa ya Kanji[emoji38]Basket wote wameshatick
Tunawasubir Tennis kule Australia,
Ndo wameanza
Kua na imani tu.Daah Mungu asaidie tu tuamke nazo vizuri Kiongozi hahaha!!Hakuna raha kama kuamka na pesa ya Kanji[emoji38]
Ha ha ha....Mi ndio natakaka niikague ofisi alafu nifungue
ShukranAll the best mkuu !
Yeah lazma uangalie kama document zipo salama aisee.Ha ha ha....
Unaangalia usalama kwanza eeh
Habari za asubui chief, naona uko vyema kabisa ushafungua ofisiKua na imani tu.
Kila kitu kinawezekana