Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Duuh aisee....hali ni tete...app gani inaapdate live basket hio nami niwafuatilie...hao
Download sofascore ni nzuri sana kutoka na uzoefu wangu mimi pia sio mbaya ukiwa na flashscore maana guna gemu inaweza isiwepo sofascore ikawa flashscore and vice versa
 
Yes Chief ... leo InPlay raha sn. Niko na laptop hapa pembeni K-Vant moja hatareeee sn... ni mwendo wa kuingiza pesa huku nanyonya vitu.
K-Vant mchana wote huu Mzee?[emoji134] [emoji23] [emoji119]
 
Hapana mkuu sikustake,hio app jama yangu alkua anantumia izo Coupons whatsapp...si unajua ile kuchukulia poa...moja kati ya coupon ambazo ndo hio...ikatoka...hahaa
Ni bora uwe unachukulia poa hivyohivyo mkuu unaweza pigwa mpunga mrefu hivihivi unajiona tamaa sio mchongo hahahaaaa usije ukaanza omba hata buku humu ya kuanzia kama jamaa mmoja hivi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jaman nimecheki jana game za international club friend zote zilitoa over 1.5 ft hebu chekin game za Leo km kuna uwezekano Wa kutoa km Jana in ushaur tu
 
Ni bora uwe unachukulia poa hivyohivyo mkuu unaweza pigwa mpunga mrefu hivihivi unajiona tamaa sio mchongo hahahaaaa usije ukaanza omba hata buku humu ya kuanzia kama jamaa mmoja hivi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kaka odd 200 izo nkiweka sana labda buku ya ushahidi tu hahaaa
 
Kama una moyo mgumu kwenye hiyo game ya kikapu, away team anawin hii mechi.....stake as if umehonga hiyo pesa so usiwe na matarajio nayo, Kwa upande wangu siweki maana nipo kwenye harakati za kukuza mtaji
Wale wenye moyo mgumu kaeni mkao wa kula maana hii tip inaenda kutoa na ilikua na odds 2.8 wakati jamaa wa home anaongoza 1 na 2 quarter
 
Download sofascore ni nzuri sana kutoka na uzoefu wangu mimi pia sio mbaya ukiwa na flashscore maana guna gemu inaweza isiwepo sofascore ikawa flashscore and vice versa
flashscore ninayo ila hio game wameiandikia Final results only yan mapaka itapoisha ndo wataupdate matokeo
 
Hofu ni kwa Olympiacos tu hapo asije taka sifa ... otherwise mkuu hii ni hela ambayo inakusubiri uichukue tu ! mimi options za "under" huwa sizipendi naturally. ... maana kuna mitimu huwa inataka sifa sn.
Kweli nimeangalia game za lamia goal nyingi kufungwa ni 4, hata PAOK alimpiga nne. Nilikuwa nafikiria kuweka HT over 0.5 nikavutiwa na hizo odds za under 4.5
 
Wanahesabu vikapu vyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…