Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nec sijui wanakata mauno uwanjan? Ndio maana kunalijamaa kwenye all scores lime coment Nec players are masturbating [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona kfarsaba kachezea kichapo.

Msikate tamaa,
Mapambano ni lazma yaendelee.
Mkuu inasemwa humu kwa kuna goli mbili za home team zimefutwa na pengine game ilikuwa fixed match. Nimeichambua hii game na sikuona ushindi kwa home team na nilitegemea draw yoyote ya magoli yasiyozidi mawili. Binafsi niliwapa 0-0 FT na nika stake buku tu. Nashangaa 87mins goli kwa away[emoji32] . Nakuwekea screen shot na slot hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…