Na wamekuja na mbinu mpya kujifanya account zao zinakuwa hacked. Mimi kwa kweli nitaendelea kuokoteza humu humu kwa kina wise, deeppond, koncho, budd, pdiddy na wengine ila huko "HAPANA"Wakuu tuweni makini na hawa watu maana watapost na watakwambia PLAY WITH ALL money siku ya kwanza utaogopaogopa utaweka pesa kidogo kwa hofu utashinda kesho yake utaambiwa play with all money siutaamini? Kumbe ndio unapgwa mpunga hawa watu kiukweli ni Agents wa bet wanashirikiana na kanji bhai tuwe makn sana ndio nilicho kigundua mm hapa mtoto wa kifipa.![]()
Kwani wanacheza leo tena mkuuWakuu, hivi hawa PORTO ni jipu au wanaweza kuchomoa goli na kushinda?
Wakowengi m nimewadlt kabisa fb mwingine anaitwa amir jiri log..ukiio a tips sake utazipendaa gafla acc hacked Mara nbox n this acc ....anawainaNa wamekuja na mbinu mpya kujifanya account zao zinakuwa hacked. Mimi kwa kweli nitaendelea kuokoteza humu humu kwa kina wise, deeppond, koncho, budd, pdiddy na wengine ila huko "HAPANA"
Line ya mtandao hupokea si zaidi ya 1m. Kwahyo hizo milion 2 haziwezi kuingia so unatakiwa ku withdraw mfano 950k afu unatoa then una withdraw tena mpk pesa inaisha mie hua ndo nafanyaga hvyo. Otherwise uwe na lini special kama zile za mawakala.Jamani humu hamna anaejua utaratibu wa Premierbet uki withdraw pesa nyingi.? Mbona siwaelewi? Na mm nipo mbali kinoma na office zao..
Haiwezekani nimewithdraw 2m na 900k toka jana asbuhi, jana hyo hyo nmepewa 900k ila hyo 2m hadi now imeandikwa inprogress... Ndo nini hiki?
Duuh.. sasa nifanyeje kuzipata hizi pesa? kuna njia yoyote ya ku cancel withdrawal ili nitoe tena?Line ya mtandao hupokea si zaidi ya 1m. Kwahyo hizo milion 2 hawiwezi kuingia so unatakiwa ku withdraw mfano 950k afu unatoa then una withdraw tena mpk pesa inaisha mie hua ndo nafanyaga hvyo. Otherwise uwe na lini special kama zile za mawakala.
Wakuu tuweni makini na hawa watu maana watapost na watakwambia PLAY WITH ALL money siku ya kwanza utaogopaogopa utaweka pesa kidogo kwa hofu utashinda kesho yake utaambiwa play with all money siutaamini? Kumbe ndio unapgwa mpunga hawa watu kiukweli ni Agents wa bet wanashirikiana na kanji bhai tuwe makn sana ndio nilicho kigundua mm hapa mtoto wa kifipa.![]()
Cancel tu irudi kwenye premier acc yako. Au wa email ilivwairudishe haraka.Duuh.. sasa nifanyeje kuzipata hizi pesa? kuna njia yoyote ya ku cancel withdrawal ili nitoe tena?
Game haikumalizika.iliharishwa half timeWakuu, hivi hawa PORTO ni jipu au wanaweza kuchomoa goli na kushinda?
Duuh.. sasa nifanyeje kuzipata hizi pesa? kuna njia yoyote ya ku cancel withdrawal ili nitoe tena?
Nafanyeje ku Cancel mkuu? sioni seheme ya kucancel withdrawal... Nimetuma email toka jana hawajibuCancel tu irudi kwenye premier acc yako. Au wa email ilivwairudishe haraka.
Asante mkuu..Wasiliana na Premier bet kwa ushauri mkuu
Hao ni matapeli tu nilishagasemaga, mara nyingi wanakimbilia friend match ambazo mara nyingi hutoa hata goli 18 hasa pale strong team inapocheza na weak team ndo anaweka 6.5 au 7+Huyu siyo agent sema ni tapeli tu anayetaka kupiga hela kwa kuuza tips zao magumashi