Mr. Wise
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 7,733
- 6,470
Ngoja nitazame salio huko premierbet aiseebado asee Porto alikua kapigwa 1 na mechi haikuisha nadhan Leo watamalizia.
Ngoja nitazame salio huko premierbet aiseebado asee Porto alikua kapigwa 1 na mechi haikuisha nadhan Leo watamalizia.
Nashkuru sana mkuu, ni kweli line inapokea mwisho 1m, nmewapigia voda wakasema ni kweli walijaribu kunitumia ila haijaja kutokana na line yangu kufikia kikomo.. So hapa inabidi niende premierbet kucancelLine ya mtandao hupokea si zaidi ya 1m. Kwahyo hizo milion 2 haziwezi kuingia so unatakiwa ku withdraw mfano 950k afu unatoa then una withdraw tena mpk pesa inaisha mie hua ndo nafanyaga hvyo. Otherwise uwe na lini special kama zile za mawakala.
Anza kula ya ov 1.5/malizia 2.5Tuanze Hapo kwanza wazee wa single bet
Saudi Arabia U23 v Malaysia U23 (Total Goals - Over/Under 2.5 Over 2.5 goals 1.60)
Bet won mkuu hongera sana,sikufanikiwa kuifuataWakuu japan u23 vs North Korea 23 half time 2-0 Home goals 2.5 ana 2.0... Nimesacrifice 45k.... [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
All the best
Thanks mkuu sikuwa na hela nyng kwenye account ningejilipua [emoji109] [emoji109] [emoji109] pamoja mkuuBet won mkuu hongera sana,sikufanikiwa kuifuata
Asante sana nipo ktk mkao wa kula.JAPAN OV 1.5 HT
[HASHTAG]#BOOOOOOOM[/HASHTAG] WALIOFWATA CONGSView attachment 676951 View attachment 676952
SafiiimpwaaaaaAsante sana nipo ktk mkao wa kula.
Asubuhi n mchana kuna hela sana ila ikifika usiku tunarudisha chenji kwa kanjibaiThanks mkuu sikuwa na hela nyng kwenye account ningejilipua [emoji109] [emoji109] [emoji109] pamoja mkuu
Haahhhahahaahha kweli kabisa, asubuhi na mchana hela nje nje, jioni kwenye kufunga mahesabu tunalala na njaa.Asubuhi n mchana kuna hela sana ila ikifika usiku tunarudisha chenji kwa kanjibai