Site gan mkuuKampuni zote ziwe na jackpot ila hii si mchezo mechi 15 unaondoka na mpunga wa maana[emoji116]![]()
kampuni gan coz princess bado.Kwa wale waliokuwa na bet zao wamemsubiria porto naona mpunga washatoa wamempiga chini porto Odds za Porto wamezipunguza
Pesa ya Porto ilishasomaprincess hakuna izoo diddy.
m nilitumia princess wamezingua asee bado nadhan mpk ichezwe.Pesa ya Porto ilishasoma
Sidhani kama watasubiri mpaka ichezwe, what if ikichezwa May uko?maana kuna ligi ratiba inabana game ikipita mpaka baada ya miezi kadhaam nilitumia princess wamezingua asee bado nadhan mpk ichezwe.
kwanza game Imeshanipa worries bt kam haitochezwa Leo sa 1 watacomfirm.Sidhani kama watasubiri mpaka ichezwe, what if ikichezwa May uko?maana kuna ligi ratiba inabana game ikipita mpaka baada ya miezi kadhaa