Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

IMG-20180116-WA0068.jpg IMG-20180116-WA0066.jpg IMG-20180116-WA0067.jpg IMG-20180116-WA0069.jpg kIZURI KULANNA NDUGUYO MECHI ZA ASBH FRM gd SRC
 
Jamani humu hamna anaejua utaratibu wa Premierbet uki withdraw pesa nyingi.? Mbona siwaelewi? Na mm nipo mbali kinoma na office zao..

Haiwezekani nimewithdraw 2m na 900k toka jana asbuhi, jana hyo hyo nmepewa 900k ila hyo 2m hadi now imeandikwa inprogress... Ndo nini hiki?
Mkuu ulifanya miamala miwili tofauti? Premier huwa hela hazitoki automatically kama ilivyo kwa Meridian. Mpaka watume query kwa mobile operator (Vodacom) ndio waruhusu fedha zitoke. Hao jamaa ni JIPU kwa upande wa utoaji fedha. Vumilia tu mkuu hakuna jinsi. Na siku za wikendi hiwa hawafanyi kazi.
 
Angalia kwenye email yako kama wamekujibu kuwa tatizo lako limekuwa submitted.
Kila nikituma najibiwa kuwa tatizo limekuwa submitted, na huwa wanajibu haraka sana.. kiasi kwamba nadhani wameset automaticaly unajibiwa.
Ila kulishughulikia tatzo ndo halishugulikiwa na hakuna taarifa yoyote nnayopewa baada ya hapo
 
Duuh.. sasa nifanyeje kuzipata hizi pesa? kuna njia yoyote ya ku cancel withdrawal ili nitoe tena?
Hakuna jinsi ya ku cancel mkuu. Zitakaa pending kwa muda kisha zitaji cancel zenyewe ma kurudi kwenye acc yako.
 
Kila nikituma najibiwa kuwa tatizo limekuwa submitted, na huwa wanajibu haraka sana.. kiasi kwamba nadhani wameset automaticaly unajibiwa.
Ila kulishughulikia tatzo ndo halishugulikiwa na hakuna taarifa yoyote nnayopewa baada ya hapo

Wadau wapo humu watakupatia namba zao...
 
Mkuu ulifanya miamala miwili tofauti? Premier huwa hela hazitoki automatically kama ilivyo kwa Meridian. Mpaka watume query kwa mobile operator (Vodacom) ndio waruhusu fedha zitoke. Hao jamaa ni JIPU kwa upande wa utoaji fedha. Vumilia tu mkuu hakuna jinsi. Na siku za wikendi hiwa hawafanyi kazi.
Yah ni kweli nilifanya miamala miwili tofauti, Lakini ule wa laki 9, wameniwekea fasta. Sasa huu wa 2m ni over 24hrs sasa hawajaniwekea, na wao katika kanuni zao wanasema hushugulikia muamala ndani ya masaa 24...
 
Line ya mtandao hupokea si zaidi ya 1m. Kwahyo hizo milion 2 haziwezi kuingia so unatakiwa ku withdraw mfano 950k afu unatoa then una withdraw tena mpk pesa inaisha mie hua ndo nafanyaga hvyo. Otherwise uwe na lini special kama zile za mawakala.
Nenda kwenye shops za mtandao husika waambie unataka kuexpand acc yako hapo ndio utaweza kuwithdraw
 
Yah ni kweli nilifanya miamala miwili tofauti, Lakini ule wa laki 9, wameniwekea fasta. Sasa huu wa 2m ni over 24hrs sasa hawajaniwekea, na wao katika kanuni zao wanasema hushugulikia muamala ndani ya masaa 24...
Babu acha kupaniki wewe tulia pesa zako ziko salama ebu siku ya leo tulia kisha kesho anza kutoa pesa kidogo kidogo sio zote anza na laki japo tano hivi kisha tulia toa tena acha mapepe
 
Sijapanic mkuu.. tatizo pesa haipo kwenye account yangu, na pia sijawekewa kwenye simu... So hata hyo kutoa kidogo kidogo ntatoa nini na wakati kwenye account haipo?
 
hiyo pesa ipo pending kama mdau alivyo kwambia haijapotea ndo maana una ambiwa tulia kidogo siumesema umewasiliano nao basi ngoja
 
Umebet tena? Ushaur tu ukiwa unahitaji kurudisha pesa usiwe na papara wala usikurupuke mkuu utazd kuliwa kuwa makini nenda taratiiiibu hayo yote yatawezekana kuwa na imani.
Bado sema nataka wacheki wachina mchana inakuawaje
 
Back
Top Bottom