Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Oya huyu nae john singh achaneni nae wakala wa kanji
Leo umemfata mkuu
Hao nshawajulia wahuni kweli mpige chini mm ninayetipister wangu humu sijutii
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Kuna jamaa anaitwa niort hapo league 1 amefix match live amekula 3 ahhahahha huyo jamaa akichomoa mbili nakula 1m dua zenu hahahha
 
Boss hii option ina leagues zake sio kila games au friendly matches uhakika n 100%..
Acha kuwaaminisha watu habar sizo aisee mwsho wa siku tuta kuona wakala wa kanji hakuna option ya uhakika 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…