Sawa mkuu hakuna neno.Twende kwenye game ya Buducnost v Trento.Buducnost anatoka Montenegro na ni moja ya team zilizo on fire msimu kwenye international games.Buducnost katika mechi 20 alizocheza nyumbani kwake msimu amepoteza mbili tu tena Lokomotive Kuban Krasnodar(hili ni jabali la basket hata CSKA kashachakazwa) na nyingine akapoteza kwa wababe Bayern Munchen.Mpinzani wake yaani Trento anatoka Italy na timu inayofanya vizuri kwenye mechi za nyumbani kwenye ligi ya ndani yaani Serie A na na ligi za njeSafi sana mkuu,kama hutojali waweze waelezea na hao wengine ili tuweze kupata elimu pana zaidi ambayo tunaweza itumia kwa baadae
Logout halafu log in utapataWAKUU HIVI HAWA SPORTPESA WAKO VIPI KWENYE HUDUMA ZAO,NIMEJIUNGA NAO LEO NIKAFANYA DEPOSIT ILA NI MASAA 3 SASA ACCOUNT HAISOMI CHOCHOTE,NIFANYEJ?.
Sikuwa na Salio lkn hao WaKorea toka jana niliwaona na dalili njema ya over 160.5
0-2INPLAY
RB SALZABURG
OV 1.5/GG
Unaweza kuchati nao pembeni pale kwa juu kulia kuna vi mistari mistari klick hapo shuka chini mpaka sehemu imeandikwa support.nimejaribi sijaona sehem ya kuchat nao live
Keravnos v Cluj Napoca.Cluj napoca hawa ni Waromania na ofcoz ni team nzuri hasahasa kwenye ligi yake ya ndani though kwenye international games ni wa kawaida sasa ni bahati mbaya anakutana na hawa Wacyprus-Keravnos ambao msimu huu ni unbeaten in 10 consecuctive games akiwa nyumbani in all competitions.Lakini cha muhimu kunote hapa ni kwamba team za Cyprus iwe kikapu au hata football huwa zinatumia vizuri sana Home field advantage.Angalia kwa kina Apoel,Apollon Nicosia,Aek Lanarka ni team zinakuwa solid zinapocheza nyumbaniSafi sana mkuu,kama hutojali waweze waelezea na hao wengine ili tuweze kupata elimu pana zaidi ambayo tunaweza itumia kwa baadae
Hahahahahhaahahaha nimecheka kweliiiii umeniondolea stress hata mm namsubiriaDeepPond wamemuHACK nini?! [emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
nshaelewa mkuu nahitaji kubet basket huko naona optin zao ni rahisi kuliko hz za nyumbanUnaweza kuchati nao pembeni pale kwa juu kulia kuna vi mistari mistari klick hapo shuka chini mpaka sehemu imeandikwa support.
Tumia tu zilizopo Tanzania nazo mbona ziko poa, kama sio mzoefu wa mambo ya mitandao itakupa shida. Kwa kujaribu ingia google search 1xbet app yao au hata kwenye website yao unaweza kuipakua. Kwenye app kuna njia rahisi zaidi ya kuchat nao
Mkuu uko vzr kwa kuandaa nondo lakn unaonaje ukawa unatutengenezea walau odd 2 uhakika watu tujitungue? Uongo mbaya timu zikiwa nyingi nakosaga jins ya kufanya selection na odd zetu za 20kAL WAHDA
KUWAIT
SLAMIYA
AL NASR
OV 0.5HT/FT OV 1.5
WAHDA WIN OR DRW
OV 2.5 ...
WALE WA BASELFK BASEL INPLAY
WEKA GG N OV 1.5/2.5
NW 1-0
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]