??? Quarter ya 10 Bob sio ya 1 dakika ya 10??Wadau kwa mara ya kwanza nimetia mguu kwenye basketball kwenye match ya wanawake huko australia inayoendelea saizi,sasa nakuta wapo qaurter ya 10,hizi mambo zipoje?
BOTH HALVES/UNDER 1.5Both halves under 1.5?-No, inakuaje hii
sorry kumbe hiyo wining margin kwny slip yangu niliweka overMadrid ameshindaje kwa winning margin ya 5 wakati game imeisha 75-73?
Twende na wakorea mkuu. Australia nimewachelewa.
Ngosha naomba rudia tena jinsi ya kudepost 1xbet jana nlijifanya nimeelewa kumbe cheche sikuelewa kitiu !!ile hatua ya pili baada ya kutumiwa token anzia hapoAu Download haikufika 100%, ifute na ujaribu kuipakua upya
Umekwama wapi?Ngosha naomba rudia tena jinsi ya kudepost 1xbet jana nlijifanya nimeelewa kumbe cheche sikuelewa kitiu !!ile hatua ya pili baada ya kutumiwa token anzia hapo
Mkeka unapumua vizur
Hapo vp wadau?
Habari za asubuhi wadau?
Tunaanza safari kama hivi, sijui itafika salama au itaishia njiani! Yote tumwachie mungu.
Na. 1 Australia inaanza saa tatu na nusu asubuhi.
Na. 2 na 3 South Korea zinaanza saa saba
BET LOST