Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Njia ya pili umetumia njia gani?
nimenda kwenye payment system nkabonyeza ikaja mitamdao nkachagua voda tz afu kuna sehem nkaweka namba yng ya cm afu wakatuma push msg kwenye cm yng jia za kupita (kama ulivyonielekeza ww)nkafuata afu wakaleta mesg ya kufanikiwa kudepost
 
HABAR ZA JION WAKUU,

Leo sjaonekana,
Nlkua bize kumalzia kesi yangu kule centro.

Al hamdulillah, kesi imeisha.

Nmetoka huko mda so mrefu.

Wakuu,
Kabla ya yote,Nitangulize
Shukran za dhati sana kwa msaada wenu khs HAWA jamaa wa 1xbet

Hakika, sisi ni familia moja.

Na Hatimae,kwa msaada wenu

Nmefanikiwa kuinstall 1xbet app.

Nmekua nacheck option zao na kufny survey ya hapa na pale kias khs app yao.

MREJESHO,
Nmegundua NI kwamba

HAWA jamaa wanaoption nyng sn kurahisisha kazi ya kutick mikeka.

Hii nmeiona kwny michezo km football,hockey,basket,volleyball na Tennis.

Afu kingn,
odds zao zina ujazo kias flan.

MF:
R.Madrid apige corner 2+ kila half.

Odds: 1.432

DUH, MPAKA NIKAHISI UTAKUA UTANI HUU.

CHANGAMOTO,

Kwa wazoefu,
Naomba mnisaidie haya maswali,

1.Napenda kujua km HAWA jamaa wana utaratb wa makato ya 18% mkeka unapotick.

2. Napenda kujua vipi procedures za withdraw na deposit.

3.Pesa inachukua mda gani kusoma kwny screen yako baada ya kudeposit

4.Pesa inachukua mda gani kusoma kwny line yako baada ya kuwithdraw.

5. Wana utaratibu UPI game inapokua postponed, na malipo huchukua mda gani baada ya game zlizobaki zote kutick.

6. Vp kuhusiana na utaratibu was cash out, Upo huko?

Kama upo, ni kwa vigezo vipi na procedures zipi?

7. VP kuhusiana na Customer support,
Unapopata tatizo, ni utaratibu UPI utautumia kuwasilisha tatizo lako.

AHSANTE,
NATUMAI SANA USHIRIKIANO WENU.

Nitafurah sana km ntajibiwa hzo changamoto zote hapo juu.

Ila kama kuna changamoto yoyte unauzoefu nayo, unaweza kujibu tu.

NATANGULIZA SHUKRANI.
 
Mkuu mimi naomba nikujibu Swali namba 2.
Kwa uzoefu wangu hawa jamaa kwenye kudiposit haichukui hata dk moja pesa inasoma kwenye acc
Kuhusu kuwithdraw mara nyingi huwa inchukua almost 30 mins to 1 hr hii ni kwa mujibu wa uzoefu niliopata kwatika kuitumia hii 1×bet.
 
Hong Kong
Match: Eastern AA - Kitchee
Tip: 3+
Time: 15:00
Extra tip: GG

International Games
Match: Cyprus Un19 - Denmark Un19
Tip: 3+
Time: 16:00
Extra Tip: GG



Hong Kong
Match: Eastern AA - Kitchee
Tip: 3+[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
Time: 15:00
Extra tip: GG[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]

International Games
Match: Cyprus Un19 - Denmark Un19
Tip: 3+[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
Time: 16:00
Extra Tip: GG[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
 
WALIOZIFWATAA CONGS
 
Kumbukumbu namba " 008 dusupay"

Kati ya neno "008" na neno "dusupay"

Vipi,
unacha nafasi au unaunganisha yote bila kuacha nafas?
 
BETLOX TIPS
[emoji385] [emoji387] [emoji385] [emoji387]

[emoji460]️Locomotive Moscow V FC Luzern
Handicap
Pick [emoji117] 1 (0:1) = 2.50
Stake = 456.52

[emoji460] Spartak Moscow Vs Shanghai S
Pick [emoji117] (over 3.5) = 2.10
STAKE = 543.48

TOTAL ODDS =5.25
Example
TOTAL STAKE = 1000

TO return 14% PROFIT on single stake in either win. Both win 100%

[emoji466]️ PLACE BET SINGLY ALL GAMES ARE 95 TO 100 PERCENT ACCURATE

GOODLUCK AND WIN BIG TODAY
 



Safi sana, hii ya Madrid hata laki 5 unaweka na hakika kanjibai atalia maana siyo kwa odds 1.4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…