Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mmmh ... leo tena ! ... daaaah !!! Sporting Lisbon, Sporting Lisbon, Sporting Lisbon Sporting Lisbon ...

Jamani mtu kashindwa kuzuia goli dk ya 90+4 kweliiiii !!!!!







what's happening aiseee !!! duuh, I am speachless kwa kweli ... siku ya tatu sasa nakosa hela nzr kwa sababu ya timu fulani.
Mmmh
 
Pole sana mkuu ukii kimbia direct win uwape magoal hawafungi ukiwapa Normal win ndo kama ivo goal lina chomolewa dk94 uko khaaa!!!
 
Wadau kuna yeyote amefanikiwa kudeposit 1xbet kupitia m-pesa leo?? ... ngoja nibadili kampuni kwa muda, hawa Princessbet wamenifanya chambo ... haiwezekani hizi misfortune kila siku.
 
Pole sana mkuu ukii kimbia direct win uwape magoal hawafungi ukiwapa Normal win ndo kama ivo goal lina chomolewa dk94 uko khaaa!!!



Aisee acha nibadili upepo ... sina hakika km 1xBet wametatua ile shida na m-pesa niweke mzigo huko. Princessbet niwapumzishe kwa muda.
 
Alafu sasa ukiangalia position aliyopo alitakiwa kuwa serious kuukimbiza ubingwa dhidi ya Porto. Ngoja mimi nimsubiri Porto anaweza toa matokeo chanya.
 
Alafu sasa ukiangalia position aliyopo alitakiwa kuwa serious kuukimbiza ubingwa dhidi ya Porto. Ngoja mimi nimsubiri Porto anaweza toa matokeo chanya.


Mkuu hii biashara inatakiwa uwe na roho ngumu sana ... maana sio kwa ukatili huu wanaotufanyia. Dakika ya 94 !!! really? !!! Inauma sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…