Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nataka kulipia Bet Slip 1XBet, inasema "Game is not found in Sports" ... shida ni nini? na games nilizochagua bado hazijaanza, zinaanza saa 9 usiku
 
FREE GAME WON[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]☄☄[emoji91][emoji91][emoji106][emoji106][emoji817][emoji817][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]☄☄[emoji91][emoji91][emoji106][emoji106][emoji106][emoji817][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji123][emoji123]☄☄☄[emoji106][emoji817][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji123][emoji123]☄☄[emoji91][emoji91][emoji736][emoji736][emoji736] free game win [emoji106]☄☄☄[emoji736][emoji736][emoji736]
 
Nataka kulipia Bet Slip 1XBet, inasema "Game is not found in Sports" ... shida ni nini? na games nilizochagua bado hazijaanza, zinaanza saa 9 usiku

Angalia option uliyochagua labda imeshafungiwa inakuwa na kaalama cha kufuli au game imeshaanza
 
wakuu msibeti game za saudi arabia huko jamaa wanazinunua peupe kabisa...game imeongezwa dakika 5 iko 1-1 refa anachezesha mpaka robo saa inapita goli lilipofungwa tu game ikaisha hapo hapo utadhani walikua wanacheza golden goal
Uzuri wake hilo gori halina meno.mbele ya betting
 
Asante sn Chief ... hebu ngoja nijaribu. Maana jana nilideposit kwa nyia ya Beyonic (m-pesa) wakasema walikuwa na shida na m-pesa.
Tena mkuu hiyo njia ya beyonic ndio nzuri hakuna mambo ya kuweka sijui namba ulizotumiwa m-pesa yaani hakuna mzunguko.
 
Hizi timu za NBA wakati mwingine nahisi wanapanga matokeo kwenye hizi Quarter.

Mfano huyu Washington wizards ni timu ya kupata vikapu 19 Q1, hlf Q3 amekamua vikapu 45....dah hawa naamini kuna namna siyo bure
Miami kaninyima raha kabisa
 
Wazee wenzangu nimedeposit hela tgo pesa meridian bet toka alhamis mpaka leo stake haisom.ijapokuwa tgo pesa walishanifahamisha kuwa nimefanikiwa kutuma nafanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…