ni chini ya sh 10000? maana nlisikia huko eti ukiweka 5000 haisomi na nliwah kutuma 5000 haikufika sikutuka kuwapigia ili wairudishe nikaachana nao tangu siku hiyo!Wazee wenzangu nimedeposit hela tgo pesa meridian bet toka alhamis mpaka leo stake haisom.ijapokuwa tgo pesa walishanifahamisha kuwa nimefanikiwa kutuma nafanyaje?
weka hatua ulizo fuata wakat wa kuweka tuone kama kuna mahali ulikosea1XBet hela haifiki jamani msaada
unekwama wapi?Msaada jinsi ya kujoin premier bet
mkuu natumia network ya halotel na nipo mbeya mjin.labda km hka kapc kamejam ssa.au link ninayofungulia ni tofaut?lkn nikifungua site zingine km princessbet,primierrbet etc zinafunguka bila shida.Mmh...network kwako inaweza kuwa ndio tatizo..
1xbet App na website yao ziko very very smooth...na nyepesi sana....pamoja na kuwa michezo mingi lakino wako stabe kwakweli.
Tigopesa, lipia bili 4, namba ya kampuni 400700, kumbukumbu namba 0081bet, amount 14k, passwordweka hatua ulizo fuata wakat wa kuweka tuone kama kuna mahali ulikosea
nimedeposit toka jn jion hd now pesa aijafikaWadau kuna yeyote amefanikiwa kudeposit 1xbet kupitia m-pesa leo?? ... ngoja nibadili kampuni kwa muda, hawa Princessbet wamenifanya chambo ... haiwezekani hizi misfortune kila siku.
samahan hiyi njia kila nikiitumia muamala wangu unakua cancelled na mtandao wangu.Tigopesa, lipia bili 4, namba ya kampuni 400700, kumbukumbu namba 0081bet, amount 14k, password
mku naona nitumie link ya 1xbet hii nnayotumia server ni nzito kinoma3 Goals to be scored in a row ..NO odd 1.2[emoji23]
Hatua zinaanzia kwenye website/app yao...then utakuja kwenye simu....Tigopesa, lipia bili 4, namba ya kampuni 400700, kumbukumbu namba 0081bet, amount 14k, password
fingers crossed Jr.AU UNAWEZA WEKA PIA
POINT MBILI HIZI HAPA
Newcastle United Jets FC WIN
Sydney FC WIN
Password haikubali inaandika weak mara sijui value nmejaribu toka usiku inagomaunekwama wapi?
Miami kaninyima raha kabisa
Miami kaninyima raha kabisa