Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

habari viongozi nani anaijua hii app tafadhari naomba jina lake na kazi yake
 


Waliofwataa huumzigoo wa football

[HASHTAG]#betwoooooooooooooon[/HASHTAG]
 
Hamna ukimpiga mhindi mkuu

Hapana hawakati. Ukishinda unapewa chote yaani Stake X odds.

Mfano km odds ni 2 na ukastake 20,000/=, Ukishinda malipo ni 2*20,000=40,000/= ndiyo malipo
 
Yap,
Nmetengeneza faida kubwa,

Japokua nlikua nacheza stake ndogo ndogo kwa ajili ya kutest mitambo.

Mambo yalienda vzur.
LEO NATAKA NIONGEZE STAKE, NI TENGENEZE FAIDA KUBWA
uwe unatujuza option nzuri nzuri mkuu tushindwe wenyeewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…