Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ha ha ha........

BET WOOOOOON
.
Duh,
hii ela ya 1x bet inaliwa kirahisi sana jamani.
 
Bahat mbaya,

Siangalii mechi live sahv.

Ila nnachoelewa ni kwamba kusitokee free kick ndani ya DKK ya 1 ya mchezo
Daaaa wamenitapeli haijatokea na nimechek live score kwenye huo mda .....duuu 1Xbet mbona utapeli unaanza jamani
 
Brazaa unaweza kuta 1st goal watu wanapata kwa header kwa hyo tusiichukulie kama hyo option ni guarenteed sana...
Tofautisha vitu mkuu.

Hii option nloweka inasema
"Goal scored by kicking-yes"

Na wala sio

"Number 1 goal scored by kicking-yes"

HIZO NI OPTION MBILI TOFAUTI NA ZINA ODDS TOFAUTI.

SOMA VZUR KILICHOANDIKWA KWNY HIYO BET SLIP YANGU.
 
Today's games
kick off 17:30hrs
44+odds

[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]



2558-augsburg gg
5386-leicester gg
3692-Bournemouth gg
1928-astonvilla win
2776-Preston win
1101-wolves win
1342-fulham win
2451-Truro city win
 
Daaaa wamenitapeli haijatokea na nimechek live score kwenye huo mda .....duuu 1Xbet mbona utapeli unaanza jamani
Hapana mkuu,

Free kick ni kweli imetokea, Ila kwny live score wameonyesha ni DKK ya 2.

Kwa uzoefu wangu,
Live score huwa wanaongeza DKK 1.

Kwa mfano
Nliwah kubet 10 min draw, mechi ya arsenal.

Na hyo mechi nlkua naangalia kabisa live.

Walcot akafunga goli DKK ya 10

Basi nkahesabu mkeka umechanika.

Kucheck bet history,nakuta bet woon.

Kuangalia livescore, nakuta wameandika goli lmeingia DKK ya 11.

Nkagundua kua HAWA jamaa huwa hawahesabu sekunde.

Ikishazid sekunde 1, wao wanahesabu ni dakika mpya.

INAWEZEKANA WAO 1XBET WANAENDA LIVE NA KINACHOTOKEA KILA SEKUNDE YA MCHEZO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…