Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Daaaaaa nashukuru deepond INA maana ni dk 1 iishe auu sekunde 59......kama wanavvyoonesha 0:0 to 0:59 hii ni kama kabla ya dk 1???
 
Daaaa wamenitapeli haijatokea na nimechek live score kwenye huo mda .....duuu 1Xbet mbona utapeli unaanza jamani
mkuu pole sana ila naamini umelose mchezo wala hujafanyiwa uhuni cz kinacho'update matokeo w
ni computa yaani mkeka wako matokeo yanakuwa automatic. throw in, free kick vinatokea Mara nyingi ktk mchezo.
 
Kuna hii option inapatikana kwenye 1 minutes events naona ni nzuri maana si kila dk kunatokea free kick

 
mkuu pole sana ila naamini umelose mchezo wala hujafanyiwa uhuni cz kinacho'update matokeo w
ni computa yaani mkeka wako matokeo yanakuwa automatic. throw in, free kick vinatokea Mara nyingi ktk mchezo.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] duuuu n kweli aiseee huwa awahesabu sekunde
 
Bahat mbaya,

Siangalii mechi live sahv.

Ila nnachoelewa ni kwamba kusitokee free kick ndani ya DKK ya 1 ya mchezo
Mkuu hii option ya scored by kicking
Unaipata wap Kwa 1xbet maana naiangalia siipat
 
Mpwa embu walete wale jamaa zako wale
 
Watoto wa u23 washa manua mkeka wangu wa matumaini na mtaji Juu dah!ngoja leo nitulie nicheki kesho
 
Samahani jaman nilideposit kwenye account yangu ya 1xbet lkn Salio halisomi customer care wananiomba ID of description sielew ndo kitu gani
 
Slot No.1

Arsenal FC - Crystal Palace
Crystal Palace (Handicap 0-2)
1.61
 
Daaaa wamenitapeli haijatokea na nimechek live score kwenye huo mda .....duuu 1Xbet mbona utapeli unaanza jamani
Mkuu livescore sometimes zinachelewa ku update, kwa mfano flashscore walichelewa sana ku update corner za mechi ya chelsea wakati huku kwenye 1xbet kona zilikua zimefika 4 wenyewe walikua wanaonyesha kona 1.
Mfano mwingine kuonyesha jamaa wako makini system yao iko makini, mechi ya sydney na mariners niliweka lisiingie gori kuanzia dk ya 45 mpaka 60( odds 2.22) uzuri nilikua naangalia live kwenye 1xbet gori likaingia dk ya 60 na sekunde kadhaa ila kwenye flashscore wameandika gori limeingia dk ya 61. Kama ningekua sijaangalia mechi ningelalamika kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…