Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Issue sio utapeli issue ni watu kuelewa lugha na option zilivyo!!
Kama sio mzuri sana kwenye lugha chill utafute option zingine tamaa ndio itawamaliza ukute umeweka mpunga mlima!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]
 
lol...wameshafanya deal wapate pesa
 
Issue sio utapeli issue ni watu kuelewa lugha na option zilivyo!!
Kama sio mzuri sana kwenye lugha chill utafute option zingine tamaa ndio itawamaliza ukute umeweka mpunga mlima!!
Ni muhimu kuzielewa hizo option vinginevyo utalalama umetapeliwa kumbe hujaielewa option inataka nini
 
Issue sio utapeli issue ni watu kuelewa lugha na option zilivyo!!
Kama sio mzuri sana kwenye lugha chill utafute option zingine tamaa ndio itawamaliza ukute umeweka mpunga mlima!!
binafsi kwa hiyo kampuni sina uzoefu nayo but ilishawahi nikuta mkeka bet timu ilishinda nikawekewa lost. but walirekebisha nilipoongea nao
 
Tofautisha vitu mkuu.

Hii option nloweka inasema
"Goal scored by kicking-yes"

Na wala sio

"Number 1 goal scored by kicking-yes"

HIZO NI OPTION MBILI TOFAUTI NA ZINA ODDS TOFAUTI.

SOMA VZUR KILICHOANDIKWA KWNY HIYO BET SLIP YANGU.
Apo sawa mkuu nimeinyaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…