Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ha ha ha....
Hii kazi yetu INA mauza uza sana



Yani ni shidaaa ... yani alichonifanya jana na leo aiseee sio kwa kubalansiwa huku aiseee.
Mkeka mmoja nimekosa 626,000/= (timu moja imeshindwa kuongeza goli moja ipatikane over 1.5 --- tena goli lilifungwa dk ya 12 halikupatikana jingine mpk dk 90 zinaisha) na mwingine leo nimekosa 769,000/= (mTunisia mmoja nimempa Under 3.5 ilikuwa na odds 1.12 kataka sifa game imeisha 4-1) ... km sio uchawi ni nini????

Mkuu km una odds kati ya 1.7 mpk 2 naomba ushee na mm ... mimepata odds 1.5 kwa mkuu Moyess
 
Aisee nime-diposit pesa meridian bet toka saa 12 hadi muda huu haija ingia.
 
Hakuna option perfect kwa 100%. Hizi timu zilikuwa 0-0 hadi dk ya 88, nikacheza inplay itoke droo kwa sh 20,000 kwa odds za 1.20.
Maajabu dk ya 90 zimeingia goal 2 yaani siamini toka saa 11 kama nimeliwa kizembe hivyo.
Giresunspor 0 - 2 Boluspor
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 


Uhakika n 100% sure..... 10 min X uhakika ni sanaaa... another win for today.. kama ulifuata.... fresh wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…