Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

BETLOX TIPS
[emoji385] [emoji387] [emoji385] [emoji387]

Club Friendly Games
[emoji460]️CSKA Moscow - Horsens
Pick [emoji117] (1)
1.64

England Premier League
[emoji460]️Swansea vs Liverpool
Pick [emoji117] (X2 and Ov(2.5))


Development League
[emoji460] Celtic U20 - Ross County U20
Pick [emoji117] (1)

TOTAL ODDS: 3.80

GOODLUCK AND WIN BIG TODAY
 
CSKMoscow odds nzuri, ngoja niwavizie kwenye inplay
 
mkuu em niambie hapo namba unaiandika kwa mfumo upi? Na maelezo mengine imenichanganya aisee



Mimi naona njia nyepesi ni hii mkuu ... hayo mambo ya DusuPay siyajui vzr.

1. Click Deposit (Hapo kwenye My Account)




2. Chagua Mobile Payment ...




3. Weka Amount, Namba yako then click Confirm. Utatumiwa ujumbe kutoka Beyonic utakaokupa maelekezo ya jinsi ya kudeposit.





Ujumbe unasomeka km hivi ...

"Account Deposit. Piga *150*00# Chagua namba 4:Lipa kwa M-Pesa Chagua namba 4:Ingiza namba ya kampuni: 400700 Ingiza namba ya kumbukumbu: 0081bet. Ingiza kiasi cha malipo. Ingiza namba ya siri".
 
Mi nilivyo tuma pesa imeonesha hela imeenda M lipa et.
 


Mapemakabisaaa waluofwata

[HASHTAG]#BOOOOOOOOOOOOOOOOOM[/HASHTAG]
 
Mi nilivyo tuma pesa imeonesha hela imeenda M lipa et.
ahhaha yan mkuu nikichek picha yako na hiyo comment du naishia kucheka japo sio mazuri
mimi hiyo njia nikiitumia muamala unakuwa cancelled na vida wenyewe njia sahihi na slama ni hiyo ya dusupay

ila hata ukitumia njia ya jamaa hapo juu hakikosha unafuata hizo hatua alizokuelekeza kabla ya kwenda kwenye menyu ya mtandao unaotumia
 
mkuu em niambie hapo namba unaiandika kwa mfumo upi? Na maelezo mengine imenichanganya aisee
255758764500
hapo kwenye transaction ID ni ile namba ya muamala kwa mfano
5AM514FLX9K Imethibitishwa
tarehe 22/1/18 saa 2:25 PM
Pokea kiasi cha Tsh4,000.00 kutoka kwa -
Salio lako jipya la M-Pesa ni Tsh600.40.
hiyo namba ya mwanzo ndo unajaza kwenye transaction Id
 
Nimeanza kutumia play master leo. Nilifunguaga account wakanipa bonus ya 2000 Ila sikuwahi kuitumia. Baada ya Mr. Wise kuwasifia kuhusu kuweka mechi nyingi inplay nikaona niwajaribu. Nimeona wana option ya ku cash out. Pia nimeona wana option ya kuclear bet history kwa wale ambao hawapendi kuona zile lost. Nimegundua pia kupata odds 2 kwenye inplay siyo kazi ngumu sana. Na pesa nyingi ipo huku
 
Wakuu 20000 tayari imeingia bado 50000 sasa ivi
 
VP washaruhusu deposit kwa mpesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…