Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

duuh me bado 30000
hapa naona sms za dusapay tu kwenye account hela siioni
kama SMS ya dusupay imeingia, copy namba ya muamala wako nenda kamalizie kujaza kule, pesa itaingia. hata Mimi Jana nimedepost sikuletewa sms ya muamala wala ya dusupay. Leo asbuhi ndiyo sms ya muamala toka voda ikaingia, lakini nilijaribu kukopy muamala ili nimalizie pesa iingie lakini ikagoma kuingia. ilikuja kukubali pale nilipochat nao m.lipa wakanitumia confirmation ya dusupay
 
Mkuu mimi hao jamaa nilichowapendea wana Inplay mechi nyingi mnoo mpka za vichochoroni
 

Unachat vp na hawa M Lipa maana 15k yangu imegoma kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…