Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Najaribu kuwaza kwanini kilamsg watu wanalalamikia hii 1*b.....
Mi nilishasema pamoja na kua sijui na Odds nzur sitojiunga nao....nilideposit hela yangu tokea Ijumaa hadi Leo hamna kitu......kumpiga mhindi iwe kazi na kujiunga nao iwe shida.....Sitaki stress zaid aisee
 
Yaani nimewazingua voda, 1×bet pamoja na M lipa aisee ndio maana mkwanja umeingia aisee.
hawa customer care wa 1xbt wana majibu ya hovyo yaani wanakujibu watakavyo. Mimi nilizinguana nao naona walishafunga pm yao kbx
 
INPLAY

EMIRATES OV 0.5 HT
OV 1.5 FT

ZENIT OV 3.5 FT

SUDUVA OV 3.5 FT

KALESUPU
 
mlipa nachati nao vip?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…