Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Manina wakae mbali nasi.
 
Huu mwaka wangu, kila cku kichapo kwa Khanji.... Nikimpiga moja nakumbana na tatu za nguvu.

Ila upo mwezi Khanji atalia na kusaga meno.
 
wakuu msaada wenu plz nimedeposit pesa toka ijumu 1xbet hadi leo pesa aijaingia nasiji ntawasiliana nao vp.kwny email yao wameweka macomplication kibao mi hata sielewi.km kuna mtu ananamba za simu anisaidie
Wakuu kwan lazima wote tuwe huko 1xbet....??!
 
Usimlaumu mkuu, kuna wengine wanachukua tips humu kimya kimya, tatizo hatupo makini ktk kusoma, tunapenda mteremko.
kwamba aliweka au? simlaumu mkuu tunaamini uzi hui upo kwa ajili ya kushea kile ulicho nacho na wenzako
 
Mkuu koncho77 Buddy Billy Walters II kama kawaida Philadelphia ameendeleza ufalme wake kwenye Q1 na leo.

Aiseeeeh ipo siku nitamuwekea mshahara mzima huyu mtu, ila siku anaweza kuondoka na sayari huyu.
Baada ya Eibar kuharibu nikampa 76ers win q1 premierbet.
Nikasubiri line-up nikawaona Saric, Embiid na Simmons wapo nikaingia princessbet nikawapa win half time inplay nikalala asubuhi nakuta zote mbili zimetiki.
Asubuhi yangu imekuwa mubashara kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…