Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Unaitwa uchizi WA kimataifa huo
 
Bora sportpesa hata ukiwa huna hela ukimwalika mtu mmoja na akatia mkeka wenye odd kuanzia 1.60 unapata 2000 fasta. Ukialika 10 una twenty.
 
MKEKA WA PESA No.5

Odds: 1.82

Mapambano yanaendelea
View attachment 682917
Mkuu uku kutamu sana inplay . Ukikaa dk unakuta msg iyo ktk email imeingia kitu Win.
Hao m lipa hata namba yao sina kabisa mkuu

MKEKA WA PESA No.2

Odds: 2.34

Mapambano yanaendelea
View attachment 682913

Kuna sehemu utakua umekosea au network ya mtandao unaotumia sio nzur mm nimedeposit fasta tu imekubali
 
Mkuu uku kutamu sana inplay . Ukikaa dk unakuta msg iyo ktk email imeingia kitu Win.
Yes,
In play inasaidia sn kurudisha mitaji.

Jana liver Mara tu baada ya kufungwa goli 1,

Nkaona hii ni fursa,

Nkampa ashnde corner kwa tofaut ya corner 2- ILITICK.

Nkampa Swansea asiongeze tens goli- ikatick

Nkawapa under 4.5 - ikatick

Nkawapa both team to score- ilichanika

HONESTLY, INPLAY INASAIDIA SANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…