Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwa hasara niliyoitengeneza toka J'mosi mpk jana ... haivumiliki. Ngoja niwapumzishe Princessbet until further notice, huenda kuna kitu huko.
Niko PlayMaster na Mr. Wise ... saiv ni mwendo wa InPlay tu mpk nirudishe japo nusu ya hasara.

Nimetenga kilo 2 ... kuanzia saa 2 na nusu leo ntakuwa busy sn hapa - PMbet | Best online betting odds in Tanzania | Play Master ... kuanzia odds 1.25 nakomba, as long as ni uhakika.
 
Nipo hapa nimepakubali game nying sana na muamala faster tu
 
mpaka sasa hali ikoje
 
mpaka sasa hali ikoje


Hali ni mbaya sn mkuu ... nimepokea vipigo vya kubalansiwa mfululizo mpk nimeshangaaa. Hii hela nataka kuamini ameniazima tu ... ni muda wake sasa kuirudisha. Km PMaster & Princess wana undugu basi watasimuliana .... shuwaaaain kbs
 
Nimedeposit saiv kupitia Tigopesa ile kurefresh page tu kitu na box. Nimeshaandaa bomu langu la nyuklia, namsubiri baadae ... ntamuendea kwa njaa mpk anikubali mamaeee.
Haahahahahaha kanji aeleweki anabadilika kuliko kinyonga
 
Dah mkuu twende pamoja hiyo mida ukianza inplay pmbet ndo mpango.
 
1xbet hii bonus unaitumiaje maana sina kitu afu naona kuna bonus imekaa tu!!mwenye uzoefu pls
 
huu mkeka hauwezi kushinda.......hauwezi, haiwezekani. sasa fuateni mkumbo wa mtu mwenye mihemko na ushamba muone mtakavyonyofolewa mazaga.
 
Mag jana kanivua nguo..nilimuomba apate goli mbili....
nimepumzika..kwasasa...


Walizingua sn jana ... huwezi amini. Mimi nilimuomba ashinde kipindi chochote ... HT wakaenda 0-0, kipindi cha pili akamiminiwa 3-1 ... shughuli ikaishia hapo. Juve na Jong Ajax walifanya kazi niliyowaomba.
 
Walizingua sn jana ... huwezi amini. Mimi nilimuomba ashinde kipindi chochote ... HT wakaenda 0-0, kipindi cha pili akamiminiwa 3-1 ... shughuli ikaishia hapo. Juve na Jong Ajax walifanya kazi niliyowaomba.
Nilikuwa na odd 50 alibaki yeye nimpige kipigo kitakatifu....
Shwain kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…