Hiyo maana halisi ya kubet unaitambua wewe mwyw mkuu.Mmmh haya magundu sasa
Mbona wengine wakileta mikeka yao tufate huwa hamuongei sana?
Kunachanika mkeka jambo la kawaida ndio maana halisi ya kubet.
Au wewe ndyo pro?Ndio maana wengine hawaleti mikeka yao
Kuanzia leo sizani kama Pro ataleta mkeka
Hakuna anaemdhihaki wala kumbeza.Ndio maana wengine hawaleti mikeka yao
Kuanzia leo sizani kama Pro ataleta mkeka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeona na ww?Deep Pond tangu umehamia xbet maisha yangu yamekuwa magumu sanaaaaaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuna anaemdhihaki wala kumbeza.
Hili swala ni kwa njia kujenga na kumuelimisha.
Na pia ni faida kwake,sisi sote na wengineo wenye mitazamo km yake.
Inabd atambue ili Siku nyngn asije akanogewa akaweka stake ya mkopo NMB afu dhamana nyumba ya ukoo.
Akiwa na mindset ile ile ya uhakika 100%.
As a result, mkeka unachanika anajitundika ndugu YETU.
KITU AMBACHO HATUTAKI KITOKEE COZ BADO TUNAMUHITAJI SN KWNY JUKWAA HILI.
NOTE:
Betting yoyote ile duniani uhakika unaishia kikomo 99.99%
Ikishafika 100% hiyo sio betting tena.
Hilo ni kweli kabisa mkuu trouble.mkuu hatuombeani kupoteza but lengo ni kupeana maoni na ushauri. mtu anaposema ni sure 100% kuna wengine ni wageni wanaweza ingia kwa miguu yote akaweka kisha akapoteza. kumbe kaweka pesa ya ada, kodi etc. itakuwaje? kilichotuogopesha ni yeye kutaka kuaminisha watu kuwa 10 min x ni uakika 100% wakati si kweli hakuna 100% kwenye betting
Dah,Deep Pond tangu umehamia xbet maisha yangu yamekuwa magumu sanaaaaaaaa
Kweli kabisa sio wewe tu dahDeep Pond tangu umehamia xbet maisha yangu yamekuwa magumu sanaaaaaaaa
Nakumbukaaaa nami nikamwonyaa betting aina mwenyewe sawanakwenda kukesha kanisani ukatamani ufie huko ufike mbinguni ukaishia kugongwa na mwendokasi watu wanazika....Point siyo gundu! Proffessor alitapa sana hapa jukwaani kuwa 10 min draw ni uhakika 100% watu tukampinga! Leo atakuwa ameelewa sasa hakuna 100% kwenye Betting!
Usichukulie kwenye mtazamo huo ulionao hapa. Hakuna mtu anaomba mwenzie apoteze pesa. Ni hayo tu, topic closed!
mkuu huko nina account vipi hakuna heka heka zozote kudeposite kwa tigo pesaDah,
Kweli mkuu?
Aisee inabd uwahi mapema ukuje huku.
Huku ni kuzur sana mkuu.