Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

[emoji7][emoji1][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]

Just a secret mwenzenu nimekula helajana yakuua liv na Leo nimekaua atletico...

Mwenyehioo apple aangalie chini pembeni kunakabox kadogo chakuchat Kyle utakutana na nigga mmoja konyo akiandika UA Chelsea kesho..UA tkt moja nyingine MPE....atoki.....kadogosana Leo aliandika Valencia win atl...badae akaambiwa sevilla akasema sevila win..loh konyohuyu..kila mda anatoa tips zijaribuni
 
Liverpool ndiyo ilikuwa tamu
 
Ubinadamu kazi kwel kwel dahhhh.... hizi lawama sijui kama huu mkeka utatusuaa.. dahh.. nimepiga faster nikatuma through camera ya JF nikiwa katika motion.. nikias cha kusema piga upya uonekane fresh tu..
Babu una jitetea sana sio siri we uki angalia iyo picha INA onesha nin kama sio ilo Blurred
Una sema uko kweny motion
Acha kutu hadaa sis watu wazima bhana kama una share share kiroho safi sio blah blah

Nb..
Nime chelewa kukoment coz nlkua offline ndo naiona iyo picha yako apo juu
 
Hakuna option 100% Sure
Usi aminishe watu katka ili Proff
 


ZA LEO HIZO...KIBOX NAONGELEA NIHAKO KA BLUE.....CHINI KULIA....WANACHAT 24 HRS KANA SUMU ZA MHINDI WAKATIMWINGINE
 


ZA LEO HIZO...KIBOX NAONGELEA NIHAKO KA BLUE.....CHINI KULIA....WANACHAT 24 HRS KANA SUMU ZA MHINDI WAKATIMWINGINE
Kama mnamkymbuka nilisema jaman mechi ya liv UA kama MNA kahela wekenii optns nyingine nilikuta kamjadala kanahitimishwa Swansea win kha...
 


Walichungulia zajana mrejesho mashallah
Leonayosiku
 
Huyu Rays ***** alich nifanya jana inabd nicheke tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
combooo mapemaa ilikuwahapa
Cong's all
Pdidy em nisaidie huenda nitarejesha kapesa kangu yaan nmepgwa vibaya mno leta tips za maana huyu boy kanifanya vibaya mpwa nkabak na 5000 kat ya 90k [emoji23] [emoji23] [emoji25] [emoji25]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…