Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

X bet hawana shid hata kiduchu shida nikwenu nyie ndo mnakosea kwangu mm naona kuweka hela na kugoa hela ni rahis hata kuliko princes na jamaa wak fasta kinyamaaa
Tatizo sio watu wanaodeposit....bali kuna vikampuni uchwara vina-act kama daraja la kutuma pesa kati ya M-pesa na 1xbet. Hawa si wengine ni M-Lipa....hawa jamaa na mashaka nao kama itakuwa wanazizungusha pesa za wa wadau kwenye biashara zao huku wakidai pesa imeshatumwa Ixbet. Case nyingi nilizoshuhudia humu zinawahusu M-Lipa...
 
kweli kabisa mkuu maana msg ya muamala kwenda M LIPA voda walinitumia sasa why pesa igome hapo kati!1xbet mbona ukila mkeka hawazingui kukuingizia salio lako?
 
kweli kabisa mkuu maana msg ya muamala kwenda M LIPA voda walinitumia sasa why pesa igome hapo kati!1xbet mbona ukila mkeka hawazingui kukuingizia salio lako?
Ixbet hawana shida....ni hawa wapuuzi M-Lipa ndio wenye matatizo
 
Njia nyepesi ni ku deposit kwa kutumia pale kwenye kuweka namba +255. Hata kama ni usiku wa manane mpunga unasoma 1xbet.
 
kweli kabisa mkuu maana msg ya muamala kwenda M LIPA voda walinitumia sasa why pesa igome hapo kati!1xbet mbona ukila mkeka hawazingui kukuingizia salio lako?
Ni hao hao m lipa wakuu maana kampuni namba yao ni 400700
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…