Please mkuu basket wengne hatuielew uwe una share basi mkui.
Sawa mkuu vp nishaur hawa barcelona niwape corner under 11.5?Simu ninayotumia haiupdate picha, ila huwa ninashare kwa maneno.
Nitakuwa nakucopy
Hii toa hao Waisrael, hlf ongeza Stake.98%
Beitar Jerusalem v Hapoel Marmurek Over 2.5 goals
Cercle Brugge v Roeselare Match Result Cercle Brugge 1.4
Odense BK v Vejle Kolding Total Goals - Over 2.5 goals 1.4
Barcelona v Espanyol Total Goals - Over 2.5
Elekeza hapa basi ili nami ninufaikeKudepost 1xbet ni rahisi zaidi ya kumeza mate na hela inaingia ndani ya dakika moja. Sema watu ni wabishi kufuata tu procedures zake.
Sawa mkuu vp nishaur hawa barcelona niwape corner under 11.5?
SaawaWape magoli, lazima wafunge magoli mengi leo
Bikosports.co.tz kumbukumbu namba ni 101010
Km kawaida Philadelphia Q1 kaendeleza ufalme wake na leo tena.
Kanirudishia hela niliyopoteza kwa mjinga APOEL
koncho77 Buddy Z. Z. Rumisha Billy Walters II
Mkuu kuna ile NBA G-League (au Development League) ifuatilie pia. Baadhi ya timu wanatoa Over km hawana akili vzr. Wamenipa hela nzr tu jana na leo.
Q1 natumiaga Meridian au 1xbet....Mkuu unatumia kampuni gani kuweka Win 1st Q? PrincessBet hawana
Kabisa mkuu! Kiasi flani wako vizuri. Hata wanaCanada kuna timu ziko nzuri!
Q1 natumiaga Meridian au 1xbet....
Princessbet km game haijaanza ni 1st half tu, lkn Inplay wanawekaga ubashiri wa Q1 sema ndiyo inabidi uwe umejipanga mapema kabisa
Nitakuelekeza kwa mpesaElekeza hapa basi ili nami ninufaike
Naomba timu za wa Canada nianze kuzifuatilia ambazo umezikubali
Safi sanaaa asante pia yaan sekunde tu hela yangu nimeiona big upNitakuelekeza kwa mpesa
Ingia kwenye account yako alafu nenda kwenye my account alafu chagua deposit, then kwenye method of payment shuka adi vodacom mpesa. Alafu ingiza kiasi unachotaka kudepost(kisiwe chini ya sh 2000) alafu bonyeza confirm.
Itakuja form imeandikwa complete your payment, iache ivyo ivyo nenda ukafanye sasa malipo kwa mpesa.
Number ya kampuni ni 400700, kumbukumbu number andika 008 dusupay. Then kamilisha muamala wako(kiasi utakacholipia huku kiwe kile kile ulichoandika kule kweny account yako)
Utatumiwa msg ya mpesa kuonyesha umelipa kiasi fulani m lipa. Kwenye hiyo msg ya mpesa chukua izo no km izi 5AN714IOEP1
Rudi kwenye ile account yako ukajaze ile form. Andika majina yako(nafkiri majina yanayotakiwa ni yale uliyojisajilia mpesa), kwenye method of payment chagua mpesa, kwenye transaction Id andika zile namba ulizocopy kutoka kwenye ile msg ya mpesa(5AN714IOEP1), kwenye email sio lzm ujaze then bonyeza OK apo chini ya form.
Apo utakuwa umekamilisha malipo kacheki balane yako.