AhsanteKwa nn usitumie njia ya Push Message ...yani ni fasta hela inaingia kwa account. Hayo mambo ya Dusupay ni mlolongo ambao binafsi naona ni hectic.
Nenda kwenye Deposit, chagua Mobile Payment, weka amount, weka namba ya simu then Confirm.
Baada ya muda watakutumia ujumbe. Ukishafika tu huo ujumbe endelea na kudeposit kwa M-Pesa km kawaida (namba ya kampuni 400700, kumbukumbu namba 0081bet).
Usifanye malipo kabla hiyo "Push Message" haijaja kwny simu yako.
That's all ... achana na mambo ya Dusupay.
Pamoja sana mkuu. Hii kampuni gani yenye odds nzuri hivi?
Yellow point 10, red point 15, yellow+red points 25, google kwa maelezo zaidiWakuu nimeona leo nibadili gea angani. Eti yellow card moja ina BOOKING POINTS ngapi? Na, je red card ina points ngapi?
Ingia kwenye mechi husika utakutana nazo option kibaoHello
Hivi others options like corners na mengineyo unayapata wapi ktk hii 1xbet?Leo nimeifungua
MMh! achia tu hizo niaje blaza. mana mambo si mambo huku Braga na huyo mwenzake hawana mpango mzuri.Ngoja nijaribu kubana kende hapa ... lisipatikane goli dk 15 za kwanza ...
MMh! achia tu hizo niaje blaza. mana mambo si mambo huku Braga na huyo mwenzake hawana mpango mzuri.
Kanji huwa hajalibiwi wala hatestiwi muda wroteyuko seriousHahahah ... Kanji nuksi sn ... nlikuwa natest mitambo na hiyo option, kasepa na 15K yngu
Hakuna option rahisi
Yan hata ungeweka 10min BadoHahahah ... Kanji nuksi sn ... nlikuwa natest mitambo na hiyo option, kasepa na 15K yngu
Hakuna option rahisi
93mins..nilikuwa nishakata tamaaAsante al ahly