Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Barca pekee amebaki..daily dose
 

Attachments

  • Screenshot_2018-02-01-09-47-04.png
    17.4 KB · Views: 44
Mi nataka ni stake wife hapo.
Stake tu maana kama mkeka
Utawin bhas wote mtaukuta
na kukutana huko juu Kwa baba
On a right

Au pengne mnajkuta mkitazama
Kwa lucifa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mi buku jelo imesoma fasta ila buku 3 mpaka sasa nasikilizia
 
Stake tu maana kama mkeka
Utawin bhas wote mtaukuta
na kukutana huko juu Kwa baba
On a right

Au pengne mnajkuta mkitazama
Kwa lucifa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Pale alipo pigwa Galatasaryay alipewa odd mlima kinoma sema kumpa win tena unaogopa kwa hisani ya kipigo cha mhindi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…