Yani majuto yanakujaga wakati mkeka ushachanika. Hata juzi Milan/Lazio niliwaomba Over 1.5 wakanichania mkeka nikiwa nawasubiri wao tu nivute hela. Baadae nikajilaumu kwa nini sikucheza corners wkt 1xbet wana hadi over 6.5 corners ...
Hii biashara unaweza hisi kuna nguvu za giza ndani yake hakyanani.
WALE WA ROLLIVERDAY ONE
[HASHTAG]#wooooon[/HASHTAG]
ODDS 1.30
*✈HIJO✈*
*1.30 ROLLOVER DAY 1*
*TURKEY*
Turkiye Kupasi
_Atiker Konyaspor 1922 - Galatasaray_
*Over (1.5) 1.30*✅
*Welkum2FEBRUARY*
Badomkuu tutakuwanazo hapa zikishukaMkuu Pdidy, vipi leo Day 2 ... zamu ya OLAYOUNG, bado hajaleta tip yake?
Badomkuu tutakuwanazo hapa zikishuka
Hivi ukitumia hizi Accumulator unalipwa kulingana na odds ulizo shinda?
Au ndio mkeka unachanika mazima.
ukitumia Lucku bet unalipwa kutokana na ulivyokula ila ndo huwezi kusell odd kama mambo yakienda mramaHivi ukitumia hizi Accumulator unalipwa kulingana na odds ulizo shinda?
Lucku bet hiyo unaipataj mkuu?ukitumia Lucku bet unalipwa kutokana na ulivyokula ila ndo huwezi kusell odd kama mambo yakienda mrama
Nilifuata ile ya foul ilitick..Habari ya siku @depond, ule mkeka Jana uliotupia Barcelona option ya faulo vipi ulitick?
Inaafaa kama umejilipua , wengine tuna bet kwa ustaarabu kupata hela ya bundle tu .
Ushauri wakuu nijilipue
Hii 1x kupekua kwa ligi unatazamia wapi...nataka niibie ibie nitupie hata mmoja ligi ya australia maana niko job mida hiiMkeka umechanika mazima Chief.
Ligi nzuri n Brazil,Argentina,Iran,India ,Saud Arabia , Malaysia na India huku ushindi n njenje mkuu.Hii 1x kupekua kwa ligi unatazamia wapi...nataka niibie ibie nitupie hata mmoja ligi ya australia maana niko job mida hii
Lucky bet n game mbili tuLucku bet hiyo unaipataj mkuu?
Saawa mkuuLucky bet n game mbili tu
Unabet ndo mkeka uwe na
Lucky bet
sijaelewa hapo mkuu timu mbili vp ndio mkeka uwe LuckyLucky bet n game mbili tu
Unabet ndo mkeka uwe na
Lucky bet