Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ukitaka muhindi akumalize, basi betia NBA GSW.... sasa hivi wamekuwa hawaeleweki kabisa trend yao, unaweza ukalia na kujiuliza hawa ndiyo wale ninaowafahamu na hapa hawana majeruhi kabisa.

Ngoja nitafute mtaji nirudi inplay NBA.
 
Naam mkuu kidogo speed yao imepungua lakini mie bado NAWAAMINI,kama game ya leo walikua vikapu -13 ndo nikawekeza, inataka moyo kwa kweli.
 
Ukitaka muhindi akumalize, basi betia NBA GSW.... sasa hivi wamekuwa hawaeleweki kabisa trend yao, unaweza ukalia na kujiuliza hawa ndiyo wale ninaowafahamu na hapa hawana majeruhi kabisa.

Ngoja nitafute mtaji nirudi inplay NBA.

Mbona wametoka fresh leo
 
Kuna aliyefanikiwa kudeposit hela leo 1xbet maana naona kwangu msg za voda hazirudi
 
Kaziwahi basketball za Korea weka over 180.5

Naona leo Voda wamenikosesha mpunga, kudeposite imekuwa issue

Sure, leo M-Pesa wana ttzo la kimtandao nn? ... nimedeposit nusu saa iliyopita mpk saiv sijapata sms ya uthibitisho wa malipo.
 
Kuna aliyefanikiwa kudeposit hela leo 1xbet maana naona kwangu msg za voda hazirudi

hata mm Chief ... msg ya uthibitisho sijapata mpk saiv, zaidi ya nusu saa sasa imekata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…