Kama upo na Iman ya kushnda Twende pamoja xax ...weka pesa yako huta jutia
Hujaeleweka mkuu embu nyoosHaKujazia ifike odds 3 nilichukua game ya odd ya odd 1.04..zote zimetoka ila hiyo ya 1.04[emoji24]
Mm ndio naigundua Leo mkuu....Hyo option ya lucky hata premierbet wanayo mbona.
ht mimi walisema nayo nikachati na jamaa yao whasap wakailudishaHao dusupay wahuni sn.
Waliwahi ondoka na 15k yangu.
Mpk Leo sijui hatma ya ile pesa angu.
Nowadays, natumia push message.
Isipokuepo hiyo,basi naisubir mpk itokee
Ndo ntaweza kudeposit
Nimeweka princess bet pia mpesa hajajibu wanasema wait 24 hrs! [emoji23][emoji23][emoji23]! Shit hole country kweli
Nini maana ya lucky bet mkuu? Kampuni gani ipo?kama sio Lucky bet saa hz acc yng ingekua chali maana mikeka yote imeungua ila Lucky imeokoa japo ni kdg
Odd 1.04 imeniharibia..Hujaeleweka mkuu embu nyoosHa
Maelekezo
Dhuuuuu Pole aiseeeeOdd 1.04 imeniharibia..
***** kwetu wamekata umeme mpak usiku dah pesa inanpit
Fuata hatua hiziWakuu nimejaribu kufanya kautafuti ktk swala la kuweka pesa na kutoa pesa huko 1xbet nikagundua yafuatayo.
1.kama unahitaji kuweka pesa vizia saa 6 usiku na kuendelea utaweka pesa vzr tu au utatoa vzr tu bila tatizo.
3.kale ka option ka Lucky muhindi amekaficha sana ilitusikaone lakini baada ya kutonywa na mkali mmoja basi muhindi aanze kuandika maumivu
mkuu nifahamishe hiyo lacky ipo vip?Mm ndio naigundua Leo mkuu....
Nasikia inakupa mpunga kwa zile team ulizoshinda
Iko kwenye kampuni ganiMm ndio naigundua Leo mkuu....
Nasikia inakupa mpunga kwa zile team ulizoshinda
1xbetIko kwenye kampuni gani