Teja Junior
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 1,740
- 1,597
Ijalibuni ft x asaivi ht tayari
Hebu nielekeze,Wakuu nimejaribu kufanya kautafuti ktk swala la kuweka pesa na kutoa pesa huko 1xbet nikagundua yafuatayo.
1.kama unahitaji kuweka pesa vizia saa 6 usiku na kuendelea utaweka pesa vzr tu au utatoa vzr tu bila tatizo.
3.kale ka option ka Lucky muhindi amekaficha sana ilitusikaone lakini baada ya kutonywa na mkali mmoja basi muhindi aanze kuandika maumivu
Wakuu nimejaribu kufanya kautafuti ktk swala la kuweka pesa na kutoa pesa huko 1xbet nikagundua yafuatayo.
1.kama unahitaji kuweka pesa vizia saa 6 usiku na kuendelea utaweka pesa vzr tu au utatoa vzr tu bila tatizo.
3.kale ka option ka Lucky muhindi amekaficha sana ilitusikaone lakini baada ya kutonywa na mkali mmoja basi muhindi aanze kuandika maumivu
Hebu nielekeze,
Hyo option ya lucky naipata wapi.
Nmeitafta sn siioni
Mbona sioni chochote mkuu, kwnyPale palipoandikwa accumulator ukiclick itatokeaa lucky
Mbona sioni chochote mkuu, kwnyPale palipoandikwa accumulator ukiclick itatokeaa lucky
Nmefanikiwa kuiona.Pale palipoandikwa accumulator ukiclick itatokeaa lucky
Thanks for your kindness...be blessed mkuu
Click hapo na n baada ya kutengeneza
mkeka wako wakat ukitaka kuulipia
Unaclik hapo uchague before ulipie
Nimejarib elipa msg ya voda imerudi na elipa wamenitumia msg ya kupokea hela, nimerud kule kwa page nikabonyez complete, page ikajifung il salio kwa account nehiiiFuata hatua hiziView attachment 689703
1. Weka kiasi
2.email yako ila utakuta wameshaiandika
3.namba ya simu yako anzia na +2
4.corfirm
5.itakuletea maelezo namba ya kampuni ni 261144
Watakupa namba ya kumbukumbu haifanani hata utaporudia kudpst wanakupa nyingine.ukishafanya malipo utatumiwa msg ila usifunge ule ukura wa maelezo maana baada ya malipo utarudi ku corfirm malipo bonyeza mara moja tu usibonyeze zaidi baada km sec 5 hiyo page inajifunga na fedha inasoma kwenye ac yako
Hawa wamekua tofauti Leo hata mm sipati ile option ya kuingiza message ya voda sijui Nafanyaje na hela ishakatwaNimejarib elipa msg ya voda imerudi na elipa wamenitumia msg ya kupokea hela, nimerud kule kwa page nikabonyez complete, page ikajifung il salio kwa account nehiii