Hii ni App ganiEvery little helps brothers.
Pole sana mkuu.naona option yangu pendwa "HEADED GOAL" (NO) imetoa kabisa . ktk match na eirba, man city naona kbs hamna goal la kichwa lililofungwa. hawa voda nawalaani kwakweli kunilaza njaa
***** zao kabisaaaaCty na Celtic wamechana
mkeka Wang wa 3+ mlaaniwe
humbwa nyie
*******BET WOOOOOOON********In play tip
Corner bet
Celtic win or draw
Odds: 2.4
Itakua bet365Hii ni App gani
Kwa Tanzania inafanya kazi?Itakua bet365
YapKwa Tanzania inafanya kazi?
******BET WOOOOOON******In play tip
Fouls handicap
Burnely (-1.5)
Odds: 1.95
Bet365Hii ni App gani
uoga wa mhindi kupga pesa zetu.deeppond alishauri humu mapema kuhusu mechi ya city
kadi za njano
kona
na faulo
ila watu hawakutaka kuchangamkia fursa hiyo
mkuu kuna ile app unayotumia kuamgalizia matokeo inaitwajeuoga wa mhindi kupga pesa zetu.
Wapi Profesoriiiiiii[emoji23] [emoji23]10mins draw wajerumani wote wametoa
Nyie hata makosa yenu mawasingizia 1xbet, game mbona zipo zote mkuu na ndo zinachezwa muda huu.Wapumbavu kweli saiv nizisaka mechi za German Bundasliga zimefichwa zilikuwa zimefichwa zooote na zote zimetoa over 2.5
Nimechek skysport ni kweli walipataWakuu nani huwa anacheck live commentary nahisi 1xbet wameniibia hapa. Je ni kweli ndani ya dk 1 kumetoke freekick game ya Bayern?
ALL FOOTBALL-LATEST NEWS AND VIDEOSmkuu kuna ile app unayotumia kuamgalizia matokeo inaitwaje